Enter your keyword

Culture for Life.

Monday, January 22, 2018

Viatu vya kiume ambavyo mwanaume wa kisasa unapaswa kuwa navyo #"Double strap -shoes"

Double monk strap shoes ni viatu ambavyo mwanaume unapaswa kuwa navyo,Viatu hivi unaweza vaa na aina yeyote ya nguo kama mwanaume. Nitaonesha baadhi ya viatu hivi:
 Viatu hivi unaweza kuvaa na suti, pensi,casual,ofisini,ni nguo inayoendana na vazi lolote la mtoto wa kijana wa kiume au mwanaume.



No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu