Chupa ya Wine Inapokuwa Pambo la Nyumba yako.
By
SINYATIBLOG
On
August 08, 2020
In
Ubunifu
Add captionChupa hii nimeitengeneza mwenye kwa kutumia spray print kama utapenda usisite kunitafuta kwa email yangu au namba 0756377940Mpenzi msomaji wa makala hii ni wazi kuwa uko poa mbali na janga hili la Corona wewe unaendelea vema.Leo napenda nikushirikishe jambo moja namna ya kubadili taka kuwa pambo.Kwanini nasema taka,kwasababu wengi wetu hutupa chupa za wine ,shampeni na chupa...