Enter your keyword

Culture for Life.

Saturday, August 8, 2020

Chupa ya Wine Inapokuwa Pambo la Nyumba yako.

By On August 08, 2020

 


Chupa ya wine hutumika kama pambo la nyumba
Add caption

Chupa hii nimeitengeneza mwenye kwa kutumia spray print kama utapenda usisite kunitafuta kwa email yangu au namba 0756377940

Mpenzi msomaji wa makala hii  ni wazi kuwa uko poa mbali na janga hili la Corona wewe unaendelea vema.Leo napenda nikushirikishe jambo moja namna ya kubadili taka kuwa pambo.Kwanini nasema taka,kwasababu wengi wetu hutupa chupa za wine ,shampeni na chupa zingine kwasababu hazina kazi tena.

Leo nitakupa mbinu kazaa za kupendezesha nyumba yako kwa chupa ulioitumia na utaacha kutupa kabisa wakati mwingine.Nitakudokeza vitu vichache unavyopaswa kuwa navyo ili uweze kutengeneza chupa ya na kuipa muonekano mpya.

Chupa ya wine au shampeni

Add caption

Rangi (Spray paint)

Zipo nyingi maduka ya hardware ni kiasi cha kuchagua wewe unapenda nini?

Namna ya kujifunza zaidi pitia youtube by Ayo craftt ( Namna ya kupamba chupa yako kwa spray paint)



3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu