Enter your keyword

Culture for Life.

Sunday, June 30, 2013

Monday, June 17, 2013

Maafa ya Mlipuko wa Bomu lililotokea trh15/6/2013 yanaendelea kwenye Viwanja vya SOWETO Jijini Arusha leo.

By On June 17, 2013

Mbunge wa Arusha Mjini  Mh.Godbless Lema (kushoto) na Mwenyekiti wa Taifa  wa CHADEMA (Kulia) MH.Freeman Mbowe,wakiungana na Waombolezaji  kwaajili ya Maafa ya Mlipuko wa  Bomu Arusha Lililotokea tarehe 15/06/2013.Mpaka sasa wamekufa watu wanne(4) na Majeruhi sitini na nane(68)

Saturday, June 15, 2013

Glory Stephen Miss Redd's Arusha 2013

By On June 15, 2013

 Mrembo wa taji la Redd's Miss Arusha Glory Stephen  (katikati) akiwapungia watazamaji walongia kufuatilia mashindano hayo  baada ya kutangazwa mshindi nafasi ya pili  ni Nance Mushi



 Mwandaaji wa Redd's Miss kanda ya kaskazini Faustin Mwandago akiwa anawapongez warembo walioshinda katika shindano









Faustin Mwandago

 Mwandaaji wa Redd's Miss kanda ya kaskazini 


Mzee Yusuph Kazini ndani ya kumbi wa Triple A complex


Phide Mwakitalima akifuatilia mashindano kwa Umakini.


 

watazamaji wakiwa katika Burudani na Mzee Yusuph


Thursday, June 13, 2013

Bidhaa/Dawa ambazo Mwanamke Hupaswi Kutumia

By On June 13, 2013
BIDHAA TANO AMBAZO HUPASWI KUTUMIA KAMA MWANAMKE NADHIFU.
1.DAWA ZA KUKAZA UKE:baadhi ya wanawake wanatumia dawa hizi ilikupunguza ukubwa wa uke wengine udanganywa kuwa zinardisha bikra si kweli,endapo utatumia dawa hizi utafanya uke wako kuwa mkavu na hupelekea kupata mangonywa nyemelezi au mambukizi kwa haraka.kama mwanamke usitumie dawa hizi ukishindwa tumia zoezi alilofundisha Philomena na litamfanya mpenzi wako afurahie uwapo naye faragha.

2.DAWA/BIDHAA ZA KUONGEZA MAZIWA NA HIPS AU MAUMBILE YAKO.
Watu wengi wanatumia dawa hizi,naomba mchunguze watu wengi wanapata madhara baada ya kutumia dawa hizi,utazifurahia kwa mda mfupi lakn mazdhara yake ni makubwa ,usababisha kansa.Hivyo ni vema kuepuka matumizi ya dawa hizi.

3.BOMBA YA KUSAFISHIA UKE PAMOJA NA DAWA ZA KUSAFISHIA UKE.(feminine washes)
Kwa kawaida uke wa mwanamke ujisafisha wenyewe si lazima kununua bomba kwaajiri ya  kusafisha uke wako.Endapo uke wako unatoa harufu au usaha muone daktari kwa ushauri na matibabu haraka.Tunapo safisha uke wakati wa kuoga au mda wowote inatosha si lazima mpaka bomba,Dawa ambazo tunatumia kusafishia uke wetu uharibu kazi ya bacteria ambao wako ukeni ambazo uzuia maambikizi hivyo hupelekea kupata maambukizi kirahisi tunapo tumia dawa hizo.

4.DAWA ZA KUCHUBUA NGOZI.
Wanawake wengi tunapenda kutumia dawa hizi ili kungarisha ngozi zetu bila kujua kuwa zinamadhara makubwa katika ngozi zetu,unapo tumia dawa hizi au cream ambazo uchubua ngozi kumbuka kuwa zinaharibu ngozi yako hasilia.mfano Mafuta ya Carolight ambayo yanatumiwa sana na wanawake,kwanza yanakuchubua na kukufanya uonekane mzee.Tusitume vipodozi vinavyochubua kwa ajiri ya kulinda ngozi zetu.
SAMAHANI KAMA KUNA WATU NIME WAKWAZA UKIONA USHAURI UNAFAA UTUMIE MSHAURI MWENZAKO.

Faida ya Kula Samaki

By On June 13, 2013

  • Huendesha mfumo wa kinga ya mwili
  • Huzuia saratani
  • Hutoa ahueni kwa wenye pumu
  • Hupambana na dalili za awali za ugonjwa wa figo
  • Huongeza nishati ya ubongo
  • Huyeyusha damu, huifanya kuwa nyepesi
  • Huilinda mishipa ya damu isiharibike
  • Huzuia damu kuganda
  • Hushusha shinikizo la damu
  • Hupunguza hatari ya kupatwa na mshituko wa moyo na kiharusi
  • Hutuoa ahueni kwa wenye ugonjwa wa kipandauso
  • Husaidia kuzuia uvumbe mwilini

Massage(Kukanda) Mwanaume.

By On June 13, 2013
Massage pic www.boracaymassagevegas.co

Massage Picwww.products.mercola.com


Vipele vya kumyegesha mwanaume viko vingi na sehemu tofauti na hutegemea zaidi na mwanaume mwenyewe na vilevile jinsi wewe utakavyo vitumia/chezea ili kumfurahisha mwenzi wako au "kumnyegesha" (turn on).

Pamoja na utofauti wao wanaume kwa ujumla wanapenda sana kukandwa sehemu ya juu ya mgongo, kiunoni, makalio yao, miguu(hasa vikanyagio) sehemu ya nyuma ya mapaja, ile sehemu ya ndani ya mapaja bila kusahau makende na uume.

Kama mara kwa mara unamkanda "massage" mpenzi wako(mwanaume) lakini hata siku moja hajawahi kunyegeka (na wewe ungependa kumnyegesha kwa massage) basi jaribu hii na ninakuhakikishia mambo yatakuwa mazuri kabisa.
  • Mlaze kifudi-fudi,kisha mkalie kiunoni (natumai huna uzito wa zaidi ya kg 60) na anza kufanyia kazi sehemu ya kichwa (pembeni kule karibu na macho) huku ukimpa maneno mazuri yakumfanya asahau matatizo yaliyojitokeza kazini au kwenye shughuli zake nyingine za kuendesha kimaisha na kuhamishia akili yake hapo alipo.
  • Hamishia viganja vyako taratibu sehemu ya shingo...usikae sana hapa.....then hamia mabegani namoja kwa moja mgononi tumia muda wa dk 20 hivi kumkanda mabega na mgongo na wakati huu utapaswa kujiinua kidogo ili uweze kupitisha viganja vyako kiunoni).
  •   kisha jiweke katikati ya miguu yake na ipanue miguu hiyo ili upate nafasi ya kufanya shughuli yako. Kwa kutumia mafuta maalum kwa ajili ya "massage" au unaweza kutumia baby oli au lotion yeyote yenye asili ya mafuta (yenye asili ya maji hukauka haraka).
  • Mwagia kiasi mafuta yao juu ya makalio yake na pitisha viganja vyako kama vile unampaka mtoto (sio kwa nguvu) ukisha eneza sehemu nzima sasa endelea kumkanda makalio yake taratibu na tumia kama dk15-20 alafu shuka taratibu kwenye sehemu ya nyuma ya mapaja yake fanyia kazi paja moja baada ya lingine.

Pelvic Exercises(Mazoezi ya misuli ya Uzazi)

By On June 13, 2013
Mazoezi ya Mama mjamzito,mwanamke unayependa pia kufanya zoezi la PC,
Image:www.mutusystem.com

Image:www.positivehealth.com


Kila mwanamke anapaswa kufanya mazoezi ya PC kwasababu husaidia kwa namna mbili;-
1. Humsaidia mume na mke kufurahia mapenzi zaidi
2. Hufanya uzazi wa mtoto kuwa salama zaidi kwa upande wa mama na mtoto vile vile

Msuli unaotawala uke wa mwanamke na kibofu chake cha mkojo huitwa “msuli wa PC”. Msuli huu ni muhimu sana. Kama mwanamke ana msuli imara wa PC, uke wake utaweza kuubana sawasawa uume wa mumewe. Jambo hili litamsaidia mke kujisikia raha wakati wa kufanya mapenzi.

Lakini kama msuli wake wa PC ni dhaifu, uke wake utakuwa mkubwa mno, na hivyo kushindwa kupata msisimko wakati wa kufanya mapenzi. Wanawake wengi wana misuli ya PC iliyodhaifu, kwa nini? Kwasababu hawajui namna ya kufanya mazoezi. Hata kama mwanamke ataambiwa “msuli unaozunguka uke unahitaji kufanyiwa mazoezi”; anaweza asijue namna ya kufanya mazoezi hayo.

Kwa mfano, wakati Martha alipojaribu kufanya mazoezi ya msuli wa PC, alifanya makosa ya kubana msuli ambao haukuwa wenyewe. Badala yake alibana msuli wa paja. Kwa bahati nzuri kuna njia ya mwanamke kutambua tofauti kati ya msuli wa PC na misuli ya paja. Msuli wa PC hukaza uke na vile vile huzuia mkojo kutoka. Hivyo mwanamke anaweza kujifunza kwa urahisi namna ya kubana msuli wake wa PC kwa kufanya mazoezi ya kubana anapokuwa anakojoa kama ifuatavyo:-
  • Akiwa anakojoa, hupanua magoti yake na kisha atazuia mkojo kwa muda wa sekunde chache. Baada ya hapo ataendelea hivyo kufanya hivyo kufunga na kufungua hadi kibofu chake kiishe mkojo.Kila anapofunga mkojo usitoke anabana msuli wake wa PC, kwasababu wakati magoti yake yamepanuliwa msuli ambao unaweza kufunga mkojo ni msuli wa PC peke yake. Lakini kama magoti yake yatakuwa pamoja anaweza kuzuia mkojo kwa kutumia misuli ya paja.

Kadri mwanamke anavyofanya mazoezi ya kuzuia mkojo kutoka, atajifunza kutambua tofauti iliyopo kati ya msuli wa PC na misuli ya paja. Wakati atakapokuwa na uhakika amejua namna ya kubana msuli wake wa PC, anaweza kuwa anaubana msuli huo saa yoyote apendayo, siyo wakati wa kukojoa tu. Na hapo ndipo atakapoanza kufanya mazoezi ya PC.

Kila mwanamke anapaswa kufanya mazoezi ya aina hii si chini ya mara 40 kwa siku. Hii ina maana mara 40 kila mchana, kubana kwa sekunde tatu na kulegeza kwa sekunde tatu. Siyo vigumu kufanya mazoezi mara 40 kwa siku.

Kwa mfano mwanamke kila asubuhi anaweza kufanya mazoezi mara 5 kabla ya kuamka kitandani (kwa kuwa kila zoezi huchukua sekune sita tu, anaweza kufanya mazoezi 5 katika nusu saa). Baada ya hapo anaweza kufanya mazoezi mengine zaidi wakati akingojea basi katika kituo cha basi (hakuna atakayeona kuwa unabana msuli wako wa PC). Kwa kufanya mazoezi kidogo kidogo kila wakati, atajikuta amaefanya mazoezi 40 kwa siku, kwa urahisi.

Dorothy, alikuwa na ugumu kukumbuka kufanya mazoezi haya ya PC, hivyo aliandika vijikaratasi na kuvibandika sehemu mbalimbali nyumbani. Kila kijikaratasi kilisema “mazoezi”. Alibandika kijikaratasi kimoja karibu na karo lakuoshea vyombo jikoni, kingine karibu na meza ya kunyooshea nguo n.k. Siku moja dada yake aliviona vijikaratasi hivyo na alitaka kujua ni vya nini. Ilimbidi Dorothy amweleze dada yake yote kuhusu mazoezi ya PC. Baada ya miezi miwili kupita, dada yake alirudi tena na kusema “mume wangu anafurahi sana kwa jinsi ninavyoanza kustareheshwa na mapenzi ya kimwili siku hizi. Anataka kujua dawa ya aina gani uliyonipa!”

Kwanini mazoezi ya PC huongeza starehe ya kufanya mapenzi?
Kwasababu mwanamke mwenye msuli wa PC imara anaweza kuubana uume wa mumewe wakati wa kufanya mapenzi, na hii hufanya mapenzi yawe matamu zaidi kwa wote wawili.

Siku hizi watu wengi hununua madawa ghali ambayo yanapaswa kuongeza utamu wa kufanya mapenzi. Ni wazi hakuna dawa kama hiyo ambayo hufanya kazi vizuri sana (kubana msuli wa PC). Lakini mazoezi ya PC humsaidia kila mwanamke anayefanya mazoezi, nah ii ndiyo dawa tena ya bure!

Kumbuka pamoja kufanya mazoezi vile vile pamoja kuongeza utamu wa wa kufanya mapenzi, mazoezi ya PC husaidia uzazi wa mtoto kuwa salama zaidi.

TUNAPENDEKEZA MAZOEZI YA PC KWA KILA MWANAMKE!!!!!

Dalili za Matatizo ya Hedhi.

By On June 13, 2013
Kabla ya kuingia kwenye siku zako za hedhi wanawake hupatwa na hofu na huwa wenye hasira,husumbuliwa na mfadhaiko wa akili, huumwa na kichwa,matiti hujaa maziwa,hukosa usingizi na kuvimba sehemu za siri,hali hii husababishwa na kukosekana kwa uwiano wa homoni (HOMONE IMBALANCE)na hali huweza kukomaa ndani ya saa 24..baada ya Hedhi.

Wengi mnapata maumivu makali,siku mbili au Tatu kabla..au mara tu muanzapo siku zenu,hali hii pia inasababishwa na kutowepo kwa uwiano wa homoni mwilini,ambako kumesababishwa na ukosefu wa virutubisho fulani,wengi hutokwa na damu nyingi kuliko kawaida au kukaa ktk siku za Nifasi kuliko kawaida,huzuni na kadhalika.

ZIFUATAZO NI DAWA AMBAZO ZINASAIDIA KUTIBU
  • Mboga za Majani.kwanza upatikanaji wake ni rahisi kwahyo jitahdi sana kuzitumia asa juisi yake na supu ya mboga za majani
  • Papai,linasaidia kwa kiasi kikubwa,hususani Papai bichi hulainisha Misukosuko ya njia ya uzazi hivyo kufanya utokaji wa Hedhi kuwa mwepesi usio na maumivu.linasaidia sana hasa wale wasiopata siku zao kutokana na STRESS.!so kula mara kwa mara tunda hilo..na sio Bichi kabisa liwe limekomaa.!!
  • Ufuta,saga ufuta na Pata unga wake kisha uchanganye na maji ya moto,kunywa mara mbili kwa siku.!kinywaji hiki huondoa maumivu wakati wa Hedhi kwa wasichana wadogo.!pia husaidia kutibu kupata Hedhi kidogo.
  • Tangawizi,nayo ni dawa nzuri sana katika kutibu matatizo yatokanayo na Hedhi,hasa ktk tatizo la maumivu makali na kutopata Hedhi.Chukua kipande cha tangawizi mbichi kiponde na weka kwenye kikombe cha maji ya moto kwa dakika chache kisha tia sukari kiasi na unywe mchanganyiko huo,tumia mara mbili kwa siku baada ya mlo.

Namna ya Kujikinga na Mimba za Kushitukiza .

By On June 13, 2013

  • Njia ya asilia ni kumwaga nje (withdrawn), lakini hii unahitaji zaidi ushirikaino wa mpenzi wako, mawasiliano wakati wa tendo kwani akijisahau au kuchelewa ujue lazima utapata mimba.
  • Mipira (Condoms) ndio kinga pekee inayozuia mimba na magonjwa yote ya ngono kwa asilimia 99 na ile moja iliyobaki ni kwa ajili ya sababu za kisheria kulinda Makampuni incase mtu akatumia vibaya na kushika mimba au gonjwa la zinaa. Vilevile Kinga hii (Condom) ndio pekee ambayo haimbadilishi mwanamke kihomoni au kimaumbile.

Njia ya asili ya kuzuia mimba hutumiwa na wanawake ambao kwa namna moja au nyingine hawataki kutumia madawa ya kisasa ili kuepuka mabadiliko ya miili yao kama vile kunenepa, kutokwa na majimaji ukeni na pia kuna tetesi kuwa yanaongeza uwezekano kwa mwanamke kupata Saratani ya Kizazi na Matiti.

Kuzuia mimba kwa kutumia tarehe inauhakika ikiwa mzunguuko wako ni uleule na sio mrefu (siku 32-35) wala mfupi (siku 18-24) bali ni ule wa kawaida ambao ni siku 28.
Ili kutumia mtindo/mbinu hii ya kuzuia mimba unapaswa kuanza kuhesabu siku zako sasa na fuatilia kwa karibu mzunguuko wako na kuhakikisha kuwa una siku 28 sio chini wala juu ya hapo.
Kwa kawaida unaaza akufuatilia kwa miezi mitatu hadi sita (kama umewahi kutumia madawa ya kuzuia mimba) kabla hujaanza kuitumia njia hii
Namna ya kuhesabu
Ili kuwa na uhakika na urefu au ufupi wa mzunguuko wako unapaswa kuhesabu siku ya kwanza utakayo ona damu mpaka utakapo ona damu ya mwezi utakao fuata.
Mfn; leo tarehe 9 mwezi wa nane ndio umeanza hedhi basi hedhi ya mwezi ujao itakuwa tarehe 7 mwezi wa tisa.....hii ni kama mzunguuko wako usiobadilika (sio mrefu au mfupi) ambao ni siku ishirini na nane tu.

Siku ya kwanza ya hedhi mpaka siku ya tisa ni salama na huwezi kushika mimba.

Baada ya hapo mpaka siku ya kumi na nne (yai linapevuka) unakuwa hatarini.
Siku ya kumi na saba mpaka siku ya ishirini na mbili unakuwa salama tena mpaka siku ya ishirini na tatu mpaka ishirini na saba (yai pevu linashuka) hatarini
Lakini ile ya ishirini na nane siku ya hedhi nyingine unakuwa salama tena....
Ili kuwa na uhakika kuwa uko kwenye mstari kuliko kuegemea kwenye tarehe tu unatakiwa kujua mabadiliko ya mwili wako.
Unapokuwa hatarini kushika mimba mara nyingi utahisi nyege zaidi n avilevile utoko wako utabadilika na kuwa mlaini zaidi (kama lotion) na wakati mwingine utahisi ute unatoka (ule kama udenda/mlenda)....ukiona hivyo hakikisha unatumia Condom vinginevyo utashika mimba.
Unapokuwa salama mara nyingi hamu ya kufanya mapenzi inakuwa haipo sana labda "uchokozwe", vilevile utoko wako unakuwa mzito (kama cream/mafuta mazito)na mweupe sana yaani hata wakati wa kujisafisha inakuwa tabu na inaweza kukuchukua muda mrefu zaidi.

Jinsi ya Kumfurahisha Mpenzi Wako.

By On June 13, 2013

Nadhani kila mwanaume kuna vitu huwa anavipenda kwa mke wake, je? wewe huwa unafanya hivi? au  kufanyiwa?

kabla ya kufanya haya hakikisha wote mko salama nikiwa na maana kuwa yeyote kati yenu asiwe na maambukizi ya magonjwa ya Zinaa ili mfanye tendo hili kwa usalama zaidi.

  •  Ondoa Aibu Wakati wa Kufanya Mapenzi
Wanaume wengi wanapendwa kunyonywa kama wanawake wengi wapendavyo kufanyiwa hivyo mpaka ilifikia hatua wanaume wanasema wanawake tunapenda kunyonywa ndio maana tunafuga mbwa wadogo kwa ajili hiyo.

Inasemekana kunyonya ni njia nzuri ya kuamsha uume wa mwanaume  Hata kama amechoka  koni  ikisikia ulimi haiwezi  kuleta pingamizi.

Vitu vya Msingi.
1.Usinyonye ukajisahau ukatumia meno ambayo yatamuuiza .
2.Lamba kuanzia kwenye kichwa cha koni.
3.Itie mdomoni taratibu au unaweza kuizungusha katika midomo yako kama vile unapaka lipshine zen unaiweka mdomoni unatoa.
4.ukiwa umeishika koni yako kiustadi aidha kwa vidole viwili ilambe taratibu koni nzima utaonampenzi wako akiweweseka ukiwa katikati ya mapaja yake akiwa amelala chali una weza kutumia kiganja chako kupapasa eneo liliopo chini ya kitovu taratibu.

5.Ukiona anatoa miguno ya raha usidhani umemaliza shughuli endelea kumfurahisha mpenzi wako mpaka utakapo shahawa zimetoka,ukiweza zimeze au tema kama unaona kinyanyasi ingawa unapo meza wanaume wengine ufurahi zaidi kwasababu hazina madhara kama wote mko salama.
 Wengi wanaogopa kufanya hivi,ukiacha mwenzio anaenda anakofanyiwa hivyo keep in touch.

Wanaume Wanawapenda Wanawake wa Aina hii.

By On June 13, 2013
Ni wazi kuwa kila Mwanamke anatamani kumpata Mwanaume mwenye sifa anazozitafuta kila siku.Kumbuka nao Wanaume wanafanya hivyo pia,Jifunze kupita sifa hizi leo.

1.Mwanamke mwenye Msimamo 
 

Mwanaume humwangalia  Mwanamke kama anaMsimamo ,Sio Mwanamke uko kama Kinyonga,kila Mwanaume anahitaji kuwa na uhakika,Mwanamke aliyemkabidhi moyo hana mihangaiko na hayumbishwi na lolote na chochote 

Unaweza kuwa na kila kitu,Mzuri wa Sura na pia huenda ukawa umebarikiwa Mali na bado usimpate Mwanaume unayetamani kuwa naye.
2.Mwanamke unapaswa kuwa Mwelevu 


Jitahidi kumwelewa Mwenzi wako,Usiwe mtu wa lawama kila kukicha anapokuwa na nafasi ndiyo wakati wako mzuri wa kumueleza yote anyokukwaza,Ukiweza kuwa na Lugha nzuri hakika yeye ndiyo atakuwa mpole kwako na atakupenda zaidi Wanaume hawapendi kukalipiwa hata siku moja.




3.Mwanamke ni Kichwa cha Nyumba.

Maana yangu ni kwamba,siku zote mwanaume ni kichwa cha nyumba lakini pia kichwa bila macho bado hamna kitu,Mwanamke unapaswa kuwa mshauri mkubwa kwa mwenzi wako,wengi wetu tunajali Urembo,ujue leo kuna mtindo upi umeingia sokoni iliweze kuomba hela ya kukufanya wewe utokelezee,Jiulize swali hili,utawezaje?kupendeza bila mwendeleo ndani amka Mwanamke.

 Women have planning and control ability,USE IT...Usikae tu kama muuza genge unasubiri wateja,Do your job and Win him!

4.Mwanamke sharti uwe msafi.
Msaidie Mwanaume awe msafi pia,rohoni hadi mwilini jiatahidi kusali,Juwa kuwa usipo mfanya mume wako kuwa nadhifu huko mtaani watamsafisha na atakuama,pia usafi wa mwili wako,nyumba,Upikaji wako naomba leo nikupe siri,wanaume wanapenda wanawake,Wasafi kuanzia mwili wake,Mahali anapoishi na Mapishi mwisho jitahidi kumtuliza mumeo mpe vitu anavyopenda hapo utaweza kulinda penzi lako.

Mafuta ya Ubuyu/Unga wa Ubuyu na Faida zake Mwilini.

By On June 13, 2013
Yana Virutubisho Vifuatavyo:
  • -Vitamin:  (Thiamin) vitamin B1, Riboflavin) B2, (Niacin) B3, kiasi kikubwa cha (Ascorbic Acid) Vitamin C, Vitamin A, Vitamin D, Antioxidant na Vitamin E (Tocopherol)
  • -Madini kama vile: – kiasi kikubwa cha Calcium, Manganese, Iron, Potassium, Zinc, Phosphorus, na Amino acids 

FAIDA ZAKE:-
  • Yanakuongezea hamu ya kula na kukumbuka vizuri kwa ufasaha kutokana na kiwango kikubwa cha vitamin B complex zilizomo. kwa hiyo ni mazuri kwa wakubwa na watoto
  • Yanasaidia kunyonywa kwa vitamin B12 kwenye tumbo kutokana na kiwango kikubwa cha ascorbic acid, ambayo ni muhimu kwenye kutengeneza chembe hai nyekundu na kukuepusha na Anemia.
  • Yanasaidia kusafisha mfumo wa chakula na kufunga tumbo la kuhara zaidi kwenye unga wa ubuyu kutokana na uwepo wa “Rufage” nyingi.
  • Yanasaidia mtu  kuona vizuri kutokana na uwepo wa Vitamin A ndani yake.
  • Mazuri kwa Walemavu wa Ngozi kama (Albino) Kutokana na uwepo wa vitamin A, Vitamin D na Vitamin E (Tocopherol).
  • Ni mazuri pia kwa watoto wadogo na  wajawazito kwa ajili  ya kuimalisha mifupa hasa  kuanzia miezi sita hadi tisa ya ujauzito (third tremester), hiki ni kipindi ambacho mtoto anatengeneza na kuimalisha mifupa yake akiwa tumboni kwa mama yake, hii ni kwasababu ya kiwango kikubwa cha Calcium na vitamin D, na vitamin A.
  • Mafuta haya ni mazuri kwa kupunguza vitambi kutokana na uwepo wa Omega 3.
  • Hurekebisha kiwango cha sukari mwilini.
  • Hurekebisha shinikizo la damu (pressure).
  • Yanasaidia kuongeza kinga ya mwili yaani CD+4, zaidi kwa wagonjwa wa ukimwi, kansa, au watu waliougua kwa muda mrefu na wanawake wanapokuwa katika hedhi wanaweza kutumia.
MATUMIZI:-Tumia vijiko viwili vya mafuta kwenye kijiko ha chai, kisha changanya kwenye Glasi ya Maji, Juisi, Maziwa yanaweza kuwa mtindi au freshi, Soda, Asali n.k, au unaweza kunywa bila kuchanganya na kitu kingine. tumia hivyo  mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa mafanikio mema na matokeo mazuri.

Procurement Specialist

By On June 13, 2013
Coca-Cola Kwanza Limited
Deadline: Jun 21, 2013
www.zoomtanzania.com

Teachers(Field Project Officers)

By On June 13, 2013
Teachers Organisation
Deadline: Jul 31, 2013,
www.zoomtanzania.com

Sunday, June 9, 2013

Haya ndiyo madhara ya kunyonyana,midomo,uchi na makalio

By On June 09, 2013



Hivi ndivyo mapenzi kunyonyana ilivyo na madhara         New York,Marekani
ZAIDI ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali yanayotokana na maambukizi ya virusi vinavyotokana na ngono zembe.
Kwa muujibu wa utafii uliofanywa na jopo la Madaktari nchini Marekeni umebaini kwamba, vijana wengi hususan Barani Afrika wanakumbwa na magonjwa ya kuambukiza kutokana na tabia ya kufanya ngono zembe na kunyonyana sehemu mbalimbali za miili yao.
Utafiti huo umebaini kwamba, vijana wengi wanapenda kuiga tabia  zinazofanywa na baadhi ya watu mbalimbali wanaoigiza muvi mbalimbali duniani zikiwemo muvi za ngono.
Madaktari hao katika utafiti wao wamebaini kwamba, vijana wengi hupenda kunyonyana ndimi zao,sehemu za siri,makwapani sehemu za makalio kwenye matiti bila kujali kwamba, mwili wa binadamu unazalisha bakteria nyingi kila kukicha na kwamba bakteria hizo, huwa sumu pale zinapoingia kwa binadammu mwingine.
Katika hatua nyingine utafiti huo pia umebaini kwamba, kuna baadhi ya wanawake wanapenda kunyonya ndimi za watoto wao wakati wa kuwalisha vyakula, ama kuwabiga mabusu kila wakati bila kujali usafi wa vinywa vyao, kiasi cha kusababishi maambukizi ya magonjwa ya ngozi kwa watoto wao.
Kuhusu filamu hizo madakati hao walisema kwamba, watu wanaoigiza katika picha mbalimbali wanakuwa chini uchunguzi wa watalaam wa afya, kabla na baada ya kurekodi filamu, tofauti na watu wanavyo dhani kwamba wale kweli ndiyo tabia yao na pengine ni watu waliokutana na kuanza kunyonyana ovyo.


SOURCE OF STORY;www.habarimpya.com

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu