Enter your keyword

Culture for Life.

Wednesday, December 4, 2019

Dhima za viambishi.

By On December 04, 2019

Wednesday, April 10, 2019

Umuhimu wa wazo katika Ubunifu . .#Afriposhdesign #Tanzania culture

By On April 10, 2019

Wasifu Binafsi
Jina -Glory James
Primary-Nkoanrua P.School
Secondary-Nkoanrua S.School
Univerisity-SUA
Wazo lako ndiyo utajiri wa maisha yako,Mtu mwingine hawezi kujua mawazo yako zaidi ya wewe mwenyewe utakapo lifanyia kazi wazo lako.Marafiki, wazazi,ndugu na watu wanao kuzunguka hawezi kuona faida ya wazo ikiwa wewe mwenyewe huwezi kulifanyia kazi ili waweze kuliona.

Safari ya Binti  Glory katika tasinia ya ubunifu
Amesomea mambo ya kilimo lakini aliona vema kutumia kipaji chake badala ya kuajiliwa.Afriposhi ilifanikiwa alipoamua kufanya na kuhakikishia umma kuwa inawezekana kufanya kazi za mikono bila kusita na kusubiri ajira .Anasema"Wazazi wangu hawakupenda nijiajiri lakini nilipowashilikisha na kuonesha juhudi, mama yangu alianza kunisaidia,na biashara yangu nafanya kupitia mindao ya kijamii hasa Instagram,Kupitia Instagram napata wateja wengi kutoka n'je na kidogo ndani ya nchi" Mpaka sasa ana followers 30.9k





Watanzania wengi hawajui namna ya kuvaa mapambo ya kiutamaduni(accesories) na mavazi yao jambo ambalo linapelekea kukosa wateja wa ndani.Wengi huamini kuwa vitu vya utamaduni vinafaa kuvaliwa na nguo za kitamaduni kitu ambacho sio sahihi kabisa.Vazi lolote linaweza kuvaliwa na culture yoyote ilimradi uzingatie muktadha(Location)

Changamoto anazokumbana nazo kubwa ni soko la ndani kutofahamu umuhimu wa vitu vya ndani na kujua namna ya kuvitumia hivyo ina mrudisha nyuma kibiashara na kujikita na soko la n'je.Wakati mwingine huwa inambidi kufundisha watu namna ya kuvaa na nguo.

Ushauri wangu kwa mabinti ni kuweza kuyafanyia kazi mawazo yao na kuacha kubweteka kwani linapoanza wazo moja huzaliwa wazo lengine.


Amekwisha valisha wasanii kama:Jokate Mwegelo na Janethn Jackson n.k
kwa maelezo zaid mfollow instagram: #Afriposhdesigns.  #Afriposhdesign or Glory
Anapatikana Arusha viwanja vya nanenane.
Phone no.0757074590,0756377940

Wednesday, February 20, 2019

African Necklace/Mikufu ya Shanga

By On February 20, 2019
Penda kujivunia utamaduni wako.Vitu vya asili kama mavazi ,vyombo,nyumba zilizojengwa kwa ubinifu wa hali ya juu lakini muonekano ni waasili pia huvutia sana.Leo nataka kukupa siri unapovaa vazi la asili na vikorombwezo vyake huwa ina pendeza na kukupa muonekano wa tofauti sana.Kitu unachopaswa kufahamu unavalia nini na kwa wakati gani?
Ukitaka kupendeza na culture vaa na nguo  ya rangi moja ili urembo uonekane.



120,000/=


Hii baadhi ya mikufu iliyotengenezwa kwa shanga na nyuzi.Endapo utapenda usisite kunipigia kwa mahitaji zaidi pia tuna valisha mtu anayetaka kuvaa kiasili katika matukio yoyote.Nicheki inta kwa jina la sinyatiblog na whatsapp 0756377940.
100,000/=


65,000/=

45,000/=

100,000/=


120,000/=

Sunday, January 13, 2019

Colar Living Rangi ya mwaka 2019#Coral Living

By On January 13, 2019




              Optimism colar living color of the year 2019





Coral Living  ni rangi iliyochaguliwa na kampuni ya Pantone  rangi imeonesha kuvutia na viumbe wanaoishi kwenye maji,na hii rangi huwa inapatikana kwenye coral reefs,mwaka huu inabeba ujumbe kuwa ni rangi yenye kuonesha matumaini,ujasiri na mafanikio katika mwaka 2019.


Kama uliweza kufuatilia rangi hii ilitumika sana katika nyumba,ambapo watu wengi walikuwa wakipatka rangi hii kwenye kuta za n'je.turajie kuiona rangi hii katika sherehe nyingi.Ingawa wakati mwingine huwa si lazima kuitumia rangi ya mwaka inategemea na upendeleo wa Mtu wa rangi.
Nanukuu:






"Pantone Color of the Year 2019 Mug

SKU: 2019-001


Pair your favorite hot beverage with the cool new Color of the Year 2019: PANTONE 16-1546 Living Coral

The Pantone Color of the Year 2019, PANTONE 16-1546 Living Coral is an animating and life-affirming shade of orange with a golden undertone. We get energy from nature. Just as coral reefs are a source of sustenance and shelter to sea life, vibrant yet mellow PANTONE 16-1546 Living Coral embraces us with warmth and nourishment to provide comfort and buoyancy in our continually shifting environment"

Heshima ya Mwanamke katika harusi na send-off

By On January 13, 2019
Mwanamke unavaa vazi kama hili.Matiti yote yako n'je tubadilike

Utamaduni wetu pamoja na maadili ya dini miaka ya nyuma mwanamke alikuwa anajistili vema kwa kuficha maungo yake lakini sasa hivi wanawake tunaanika sana viungo vyeti vya mwili bila kujali kupoteza haiba zetu.

Binti anapoolewa au anapokuwa katika sherehe yoyote wengi wetu siku hizi zimekuwa kama sehemu za kuonesha miili yetu,wengine ni sehemu ya kutafutia wachumba.Naenda kusema kuwa mwanaume atayevutiwa na mwili wako kwa kuuonesha huyo utakuwa kakutamani hajakupenda.Mume wa kukuoa aangalii hivyo vitu unavyomuwekea n'je.

Leo napenda kugusia kidogo suala LA wanawake wanao ingia katika ndoa.Tunajua kuwa siku ya harusi,kitchen party,sendoff na sherehe zingine wewe kama mwanamke usisahau maadili ya utamaduni wako na dini pia,Wanawake siku hizi mavazi yao yamekuwa ya kuacha miili yao wazi  najiuliza unamuonesha nani?au ndo mitindo ya nguo siku hizi lkn neno moja ni kwamba unajidharirisha.

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu