Wasifu Binafsi Jina -Glory James Primary-Nkoanrua P.School Secondary-Nkoanrua S.School Univerisity-SUA |
Safari ya Binti Glory katika tasinia ya ubunifu
Amesomea mambo ya kilimo lakini aliona vema kutumia kipaji chake badala ya kuajiliwa.Afriposhi ilifanikiwa alipoamua kufanya na kuhakikishia umma kuwa inawezekana kufanya kazi za mikono bila kusita na kusubiri ajira .Anasema"Wazazi wangu hawakupenda nijiajiri lakini nilipowashilikisha na kuonesha juhudi, mama yangu alianza kunisaidia,na biashara yangu nafanya kupitia mindao ya kijamii hasa Instagram,Kupitia Instagram napata wateja wengi kutoka n'je na kidogo ndani ya nchi" Mpaka sasa ana followers 30.9k
Changamoto anazokumbana nazo kubwa ni soko la ndani kutofahamu umuhimu wa vitu vya ndani na kujua namna ya kuvitumia hivyo ina mrudisha nyuma kibiashara na kujikita na soko la n'je.Wakati mwingine huwa inambidi kufundisha watu namna ya kuvaa na nguo.
Ushauri wangu kwa mabinti ni kuweza kuyafanyia kazi mawazo yao na kuacha kubweteka kwani linapoanza wazo moja huzaliwa wazo lengine.
Amekwisha valisha wasanii kama:Jokate Mwegelo na Janethn Jackson n.k
kwa maelezo zaid mfollow instagram: #Afriposhdesigns. #Afriposhdesign or Glory
Anapatikana Arusha viwanja vya nanenane.
Phone no.0757074590,0756377940
No comments:
Post a Comment