Enter your keyword

Culture for Life.

Thursday, April 23, 2015

HAWA NDIYO WANAWAKE WANAOANGAMIZA DUNIA.

By On April 23, 2015

Ni furaha kwangu kama mwanamke kuwaletea makala hii ambayo itasaidia kubadilisha wanawake wengi ndani ya dunia hii.Kuna aina za  wanawake ambao kama tabia zao hazitabadilika   basi hakuta kuwa na madiliko katika maisha tunayoishi sasa.Wanawake hao ni hawa wenye tabia hizi:

Wanawake mnamfundisha nini? huyu mtoto hapo....................................



  1. Wanawake Wachonganishi:Hawa ni wanawake wanaochonganisha watu kwa kusema maneno ambayo siyo ya kweli.
  1. Wanawake wa Shetani:Hawa ni wanawake wanao watumikia  mashetani hufanywa wanacho agizwa na shetani.
  1. Wabeba waume za watu:Hawa ni wanawake wanao ona raha kuwa na mume wa mtu,na huwa tumikisha hao wanaume na  kuwafanya wasahau familia zao, wengine hutumia hata nguvu za giza kuwateka waume za watu.Hawa huangamiza ulimwengu,wapo sana katika jamii zetu.
  1. Wanawake vigeugeu: Hawa hawajiamini,leo kanuna kesho kafurahi.Huwa wana hasira mda wote.
  1. Wanawake wenye tamaa iliyopitiliza:Wanawake wa aina hii hupenda kufanya jambo kwa kuangalia Fulani amefanya hivi :kanunua gari,amenunua pochi nzuri au  rafiki yake kanunulia gari  na mume wake,simu kali ,nyumba, basin a yeye atataka kufanyiwa hivyo asipofanyiwa basi atamuacha mume wake na kumtafuta mwanaume mwingine,hali hii ndiyo huwa fanya wanawake wengi kutoka n’je ya ndoa kutokana na kuto ridhishwa kimapenzi na vitu vidogovidogo kama hivyo,Pia  hupelekea mabinti wengi kujiuza na kutembea na wanaume za watu ,wengine kutembea na watu walio wadhidi umri,huku wengine wakikimbilia kwa wazungu wazee badaala ya kujishughulisha.

  1. Wanawake wanaofuata maamuzi yao:Hawa huzisikiliza sauti zitokazo katika ufahamu wao wakiamua jambo hawafikirii mara mbili.
  1. Wanawake  wazembe: Wanawake wa aina hii wao huwa hawajijali kimavazi,nyumba zao,ndoa zao na familia,hata wakipika chakula  huweka chumvi nyingi au kutokuweka kabisa.Hawafanyi kazi wanasubiri kuletewa ,wengine huziharibu ndoa zao wenyewe kwa kutojishughulisha na kazi za nyumbani,ujasiriamali na hata kitandani na kupelekea waume zao kutoka n’je ya ndoa.
  2.  Wanawake waliojiachia: Ni wanawake wenye aibu kidogo au hawana kabisa wao hawana mipaka hawawezi kuijizuia.
  3. Wanawake wanaoitwa mbwa wa kike:Hawa huzini na mwanaume yeyote yule hawachagui mchi wa kutwangia
  1. Wanawake wambea:Hawa kutwa hushinda wakisengenya watu hawawazi maendeleo, kutwa kusema watu hata waume zao.Aina zingine za wanawake ni wanawake Wachawi,Wenye ufahamu mdogo,Wanawake Dume,Wenye majivuno na Wanaoshinda kando ya barabara hizi ni baadhi tu ya aina za wanawake.
Ni ombi langu kama mwanamke, kwa wanawake wenzangu kubadilika na kuzingatia maadili ya tamaduni zetu,Dini zetu  na kujiheshimu pia kufanya vitu vya maendeleo, tujichanganye tusiwe magoli kipa.Tafadhari share na rafiki yako kuleta mabadiliko katika jamii zetu.Usisite kucomment maoni yako na mapendekezo kwa wanawake.

Toa comment yako kwa faida ya wengine.

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu