Enter your keyword

Culture for Life.

Tuesday, March 26, 2013

BORA MUME WA MTU AU MKE WA MTU

By On March 26, 2013
Hakuna lililo bora katika hayo yote ,
vijana wengi siku hizi huona bora kuwa na mahusiano na mtu zaidi ya mmoja au kutembea na mume wa mtu au mke wa mtu,leo nataka mpenzi msomaji utambue kitu kimoja kama mwanadamu na mwenye utu ndani ya moyo wako na ambaye baadaye unategemea kuitwa mama au baba,lile umfanyialo mwenzako leo jua kesho kwako.

Kuna ushuhuuda niliusikia kwa masikio yangu kanisani binti mmoja aliyetembea na wanaume 100 kwa mda wa mwaka mmoja akishuhudia kanisani na kati ya hao wengne ni waume za watu. Je wewe ushatembea na wangapii nitakacho kusema hapa ni kwamba tutambue kuwa kila mwanaume utakaye tembea naye anamikosi yake je kama umetembea na watu 100 ushawahi kukakaa chini na kukili hilo na kuvunja laana ambazo wanazo hao watu uliotembea nao jua kuwa laana zao ziko pia ndani yako kwasababu ulisha ungana nao.

Mpenzi msomaji mikosi mingine ni kutokana na matendo yetu kutokufanikiwa katika maisha ni kutokana na hawa watu tunao kumbana nao bila kuwajua,kama una mke kwanini usiridhike na mkeo au mumeo na kitendo cha mwanamke kuwa na mume wa mtu au mwanaume kutembea na mke wa mtu ni laana tunazozitafuta wenyewe,hivi haijawahi kukutikea umetembea na mtu leo siku hiyohiyo unakumbana na matatizo kibao au ukiwa naye matattizo haya ishi.

Ungama leo kama kijana ,mume wa mtu,au mke wa mtu acha na subiri yule ambaye mungu amekupa.Tufute mikosi na tuwe na tumaini la mafanikio kwa kujaliana wenyewe kwa wenyewe na kujijali wewe mwenyewe.

Kama uko tayari ungama na futa laana na maagano ya watu wote ulikutana nao.

Monday, March 18, 2013

Saturday, March 16, 2013

Sheria za uvaaji wa suti na Tai

By On March 16, 2013


Ni wazi kuwa  wengi tunalitambua vazi hili na miongoni mwetu tunapendelea kulivaa vazi hili. Suti huvaliwa na jinsia zote mbili yaani wanawake na mwanaume, isipokuwa mwanaume hawezi kuvaa suti ya sketi kama ilivyo kwa  wanawake,ambao wana uwanja mpana katika uchaguzi wa Suti. Vazi hili huvaliwa sana maofisini katika Taasisi binafsi na za serikali,kwenye harusi,sherehe,mikutano, na mazingira tofauti ambayo ni rasmi.Leo mpenzi msomaji wa safu hii Naomba tukumbushane baadhi ya kanuni za vazi hili la suti ambazo zitakupa hadhi ndani ya vazi la suti kama ifuatavyo:

1.      Epuka kuchomekea koti
2.      Epuka kutembea peku
3.      Usipende kuongea kwa sauti au kupiga kelele wakati unazungumza
4.      Acha kula magengeni.
5.      Usipende kupanda Daladala,kuendesha pikipiki au baskeli ukiwa umevaa suti
6.      Usivae kandambili au kubeba mfuko wa plastiki(Lambo)
7.      Usivae soksi zilizo chanika na suti
8.      Usijisaidie uchochoroni (kuchimba dawa) uwapo safarini.
9.      Epuka kupenga kamasi barabarani au kutema mate hovyo
10.  Acha kuchekacheka hovyo
11.  Epuka kutafuna hovyo barabarani
12.  Usitembee  na pesa za sarafu mfukoni
13.  Marufuku kupiga mruzi
14.  Marufuku kutokwa na jasho hovyo,tembea na leso
15.  Usipende kukimbia ukiwa ndani ya vazi la suti
16.  Marufuku kuwa mbishi au kusababisha mjadala usio na maana
17.  Usinywe  pombe za kienyeji wala kukaa sehemu zenye vilabu vya pombe za kienyeji


Masai skafu

By On March 16, 2013

VINAUZWA KWA BEI POA SH,15000/= FOR ONE PIECE ,SEND YOUR email,abnerytupokigwe@gmail.com


Masai Hand Craft,Masai Vikoi,



Masai Scarf

SH.10000/=

Masai Scarf





SH.5000/=

Masai kikoi



Nimetokelezea kwa SH.5000/=unaweza kuvalia casual dress


MY CONTANT   0756377940,USE Tanzania Code,IF YOUR AWAY FROM TANZANIA or ARUSHA PLEASE CONTACT US AND WE WILL ORGANIZE HOW TO DELIVER. EMAIL.abnerytupokigwe@gmail.com,Location;Arusha(Mianzini near Pride Block)



Saturday, March 9, 2013

MCHAWI AFUMANIA AKIZUNGUKA NYUMBA YA MTU UCHI ARUSHA

By On March 09, 2013
ILIKUWA SAA KUMI NA MBILI ASUBUHI,SIKU ZA MWIZI NI AROBAINI




ENEO LA UNGALIMITED ARUSHA,

Thursday, March 7, 2013

mwanamke apelekwa stand na mume wake kuogeshwa

By On March 07, 2013

mume mwenye tshet yellow muogeshaji mwenye printed tshirt

mtu na mumewe wakielekea stand bila kujua mwanmke anaenda kuogeshwa


watu wakishuhudia, stand kubwa arusha

Wednesday, March 6, 2013

Pillow ni rafiki yangu wa kweli zaidi ya rafiki

By On March 06, 2013

  SAUSAGE PILLOW,hutumika kitandani, kwenye sofa au kochi kama ukipenda,ukihitaji utaupata kwa sh.15,000/= bila foronya(cover),piga namba 0718734150au 0756377940

SAUSAGE PILLOW,UKIWA NA FORONYA SH.20000/=



 SOFA PILLOW OR DOWN PILLOW  ONLY FOR ,50000/= WITH COVER AND 25000/= WITHOUT COVER

 SOFA PILLOW OR BED PILLOW ONLY FOR 10000/= WITHOUT COVER AND 16000/= WITH COVER.

DOWN PILLOW FOR 20000/= WITH COVER AND 10000/= WITHOUT COVER.

CONTACT:0756377940,0718734150

Saturday, March 2, 2013

WATOTO WA MITAANI WAOGESHWA KWA LAZIMA JIJINI ARUSHA

By On March 02, 2013







Kundi jipya la vijana lililoanzishwa hapa jijini likiwakusanya vijana wa mtaani na kuwaogesha kwa lazima pamoja na kuwabadilisha mavazi.(eneo la mianzini mataa)

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu