Enter your keyword

Culture for Life.

Saturday, December 17, 2016

Mitindo 25 ya Magauni Mafupi ya Vitenge.

Mwanamke kitenge,ni ukweli usiojificha kuwa vazi la kitenge halitotoka katika fashion.

Unaweza kushona gauni fupi kama hili na ukavaa na stoking nyepesi kipindi cha joto,na wakati wa baridi ukavalia Stoking nzito ingawa wapo wapenzi wa nguo fupi huweza pia kuvaa hivyo hivyo.

Msho huu unaweza kuvaliwa kanisani hata ofisini.Pic moja na nusu ya Kitenge inakutosha.

Vazi hili waweza vaa kwa church au ofisini.

Unaweza jifunga  kipande cha kitenge kimoja chini na juu ukavalia top yeyote isiyo ya kitenge na ukawa poa.

Mtindo huu wa kitenge ni mzuri kwa mtu mnene au aliye natumbo kubwa,itamfanya aonekane nadhifu.



Street style,Unaweza kutengeneza longtop kama hii na kuwekea kitenge.

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu