Enter your keyword

Culture for Life.

Tuesday, October 29, 2013

Mitindo ya vitenge

Kitenge vazi la Ofisini,vazi hili unaweza kuvaa hata ukiwa unatoka kama utavaa na Blauzi nyepesi au shiffoni ya rangi inayoendana na suruali yako.




Kitenge vazi la Kichen party au mitoko ya usiku nikiwa na maana Red Carpet,cocktail party naamini ukivaa hivyo utavutia sana

 

Kitenge vazi la Kichen party au mitoko ya usiku nikiwa na maana Red Carpet,cocktail party naamini ukivaa hivyo utavutia sana

 

Kitenge kilicho changanywa na shifoni au Race pia uvutia sana vazii hili  unaweza kuvaa popote isipo kuwa kanisani itakuradhimu kutupia koti juu.



Kiatu cha kitenge kinaweza kuvaliwa na nguo yoyote katika mazingira tofauti ,changanya na vikorombwezo vyako kama Hereni,pochi,bangili na mkufu





No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu