Suti yenye kifungo kimoja,mtindo wa suruali kama unavyouona haijafika mwenye ankle.
Muonekano huu pia ni mzuri.kwa MTU ambaye hana tumbo kubwa.
Muonekano huu umekuwa ukiwa vutia wadada wengi .ni vema pia unapoushona hakikisha unamguu wa kuvalia isije onekana suti kama imetundikwa.
Michezo: Simba Day Kuzinduliwa Agosti 30
-
"Katika msimu huu wa 17 wa Simba Day, utazinduliwa rasmi Agosti 30, 2025,
na kama ambavyo tumeanzisha utamaduni wa kufanya uzinduzi wa Wiki ya Simba
n...
13 hours ago
This is real nice ever...I love African's beauty
ReplyDeletethank you
Delete