Kumekuwa na mkanganyiko sana kuhusu rangi ya mwaka,Wengine wamekuwa wakidai bluu ndiyo rangi ya mwaka kutokana na kwamba mwaka Jana ilivaliwa mno hasa na maharusi.
Naomba nikutoe kimasomaso rangi iliyotangazwa na Pantone ambayo ninkampuni inayotekeleza jukumu hilo baada ya kufanya utafiti katika mitindo mbali mbali hutoa rangi ya mwaka.
Rangi ya dhambarau IPO katika muonekano tofauti .nitatupia picha chache za mavazi ya rangi ya purple( zambarau)
ELIMU YA WATU WAZIMA YAZIDI KUPAA ARUSHA
-
Mgeni Rasmi katika hafla ya maadhimisho ya wiki ya Elimu ya Watu Wazima
Wilaya ya Arusha,Bi. Chausiku Baha akivalishwa skafu na mmoja wa Wanafunzi
waliop...
1 day ago
No comments:
Post a Comment