Enter your keyword

Culture for Life.

Sunday, January 13, 2019

Heshima ya Mwanamke katika harusi na send-off

Mwanamke unavaa vazi kama hili.Matiti yote yako n'je tubadilike

Utamaduni wetu pamoja na maadili ya dini miaka ya nyuma mwanamke alikuwa anajistili vema kwa kuficha maungo yake lakini sasa hivi wanawake tunaanika sana viungo vyeti vya mwili bila kujali kupoteza haiba zetu.

Binti anapoolewa au anapokuwa katika sherehe yoyote wengi wetu siku hizi zimekuwa kama sehemu za kuonesha miili yetu,wengine ni sehemu ya kutafutia wachumba.Naenda kusema kuwa mwanaume atayevutiwa na mwili wako kwa kuuonesha huyo utakuwa kakutamani hajakupenda.Mume wa kukuoa aangalii hivyo vitu unavyomuwekea n'je.

Leo napenda kugusia kidogo suala LA wanawake wanao ingia katika ndoa.Tunajua kuwa siku ya harusi,kitchen party,sendoff na sherehe zingine wewe kama mwanamke usisahau maadili ya utamaduni wako na dini pia,Wanawake siku hizi mavazi yao yamekuwa ya kuacha miili yao wazi  najiuliza unamuonesha nani?au ndo mitindo ya nguo siku hizi lkn neno moja ni kwamba unajidharirisha.

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu