Enter your keyword

Culture for Life.

Friday, April 7, 2017

Sheria 18 za mavazi kwa mwanaume wa kisasa( Modern Man)ambazo unatakiwa kuzifanya na kutozifanya.

Wasanii wa mziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania Diamond(kushoto)Alikiba (kulia)

MWANAUME WA KISASA HAKOSI VITU VIFUATAVYO:

  1. 1.Hakikisha una suruali ya jeans inayokukaa vizuri mwilini na kukupa muonekano mzuri




2. Kuwa na shati la kitambaa cha cotton/jeans

 3.Hakikisha una jeans nyeusi itakayokufanya uwe classic zaidi.

 

4.Kuwa na miwani kwaajili ya kuzuia mwanga wa jua.

 

5.Kuwa angalau na  suti moja ya kushona,napendekeza nyeusi kwaajili ya kuokoa gharama,kwani suti nyeusi waweza vaa na shati za rangi tofauti.

6.Hakikisha una mikanda ya suruali inayoendana na viatu vyako,ili unapovaa una vaa pamoja yaani mkanda wa suruali na kiatu uendane.

 
Model:Daxx

7.Kuwa na viatu vizuri vya kuvaa wakati wa joto bila kusahau soksi kwa mwanaume ni vizuri ukiwa nazo ilikupunguza kiatu kuwa na joto na kupelekea harufu.

 

 

8.Hakikisha una buti nzuri.

NGUO AMBAZO HUPASWI KUVAA

9.Jeans inayopwaya.

 

10.Usivae jeans inayokubana sana,vijana wa siku hizi mnaina mnyonyo .

11.Usivae jeans yenye mng'ao sana

 

 

12.Usivae nguo zenye maandishi mengi au jeans yenye logo inayoonekana sana au michoro ya maandishi.

 

13.Usivae shati lililo nakshia hadi kupitiliza.

14.Usivae jeans au suruali iliyo chini ya matako au kata K


15.Usivae sandal na Soksi.

16.Usivae kaptula pana inayopwaya na inayozidi magotini.

 

17.Usivae suruali inayobana na buti

18.Usivae saa ambayo inamuonekano mdogo sana /ndogo

 


No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu