Colar Living Rangi ya mwaka 2019#Coral Living
By
SINYATIBLOG
On
January 13, 2019
In
Mitindo
Optimism colar living color of the year 2019
Coral Living ni rangi iliyochaguliwa na kampuni ya Pantone rangi imeonesha kuvutia na viumbe wanaoishi kwenye maji,na hii rangi huwa inapatikana kwenye coral reefs,mwaka huu inabeba ujumbe kuwa ni rangi yenye kuonesha matumaini,ujasiri na mafanikio katika mwaka 2019.
Kama uliweza...