Mitindo ya vitenge
By
SINYATIBLOG
On
October 29, 2013
In
Mitindo
Kitenge vazi la Ofisini,vazi hili unaweza kuvaa hata ukiwa unatoka kama utavaa na Blauzi nyepesi au shiffoni ya rangi inayoendana na suruali yako.
Kitenge vazi la Kichen party au mitoko ya usiku nikiwa na maana Red Carpet,cocktail party naamini ukivaa hivyo utavutia sana
Kitenge vazi la Kichen party au mitoko ya usiku nikiwa na maana Red Carpet,cocktail party naamini ukivaa...