BANTU NAMES,majina mengi ya asili ya maana nzuri watu wengi siku hizi wanaiga majina ya watu maarufu na kuwapa watoto wao bila kujua maana ya jina analompa mtoto wake,naomba tubadilike majina mengine sio mazuri na ukijaribu kuchunguza baadhi ya watu wenye tabia mbaya kama za ukorofi,wizi,ujing,umaraya ujambazi na mambo mengine kibao ni kutokana na majina walio nayo na asilimia kubwa watu wenye tabia mbaya majina yao huendana kama una bisha jaribu kuchunguza katika maongezi ya watu na majina ya hao watu wenye hizo tabia halafu uulize majina yao ndiyo sababu wengi huuliza mtoto anaitwa na na mara nyingine katika mahusiano watu husema majina ya kina fulani ni maraya au wakorofi zingatia jina unalompa mtoto wako.
My Bantu name Tupokigwe
Origin: African
Sex: Female
Meaning: We are safe (Nyakyusa,
Tanzania).in
swahili tumeokolewa
Soul Urge: People with the name Tupokigwe have a deep inner
desire for travel and adventure, and want to set their own pace in life without
being governed by tradition.
Expression: People with the name Tupokigwe tend to initiate
events, to be leaders rather than followers, with powerful personalities. They
tend to be focused on specific goals, experience a wealth of creative new
ideas, and have the ability to implement these ideas with efficiency and
determination. They tend to be courageous and sometimes aggressive. As unique,
creative individuals, they tend to resent authority, and are sometimes
stubborn, proud, and impatient
Tanzania Kuwa Mwenyeji wa Mkutano wa Kikanda wa Baraza la Viwanja vya Ndege
Afrika 2025
-
*Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa,akiongea na waandishi wa habari
juu yaMkutano wa Kikanda wa Baraza la Viwanja vya Ndege Afrika *
Na Woinde S...
1 week ago
No comments:
Post a Comment