Mitindo ya Vitenge Kichen Party 2014
By
SINYATIBLOG
On
March 29, 2014
In
Kitchen Party
![]() |
Mtindo wa Kitenge uliochanganywa na shiffon n'je mtindo huu unapendwa sana kwa sasa.Maua ya Kitenge huvutia sana n'je ya Shiffon. |
Wema Sepetu Kiafrika zaidi ndani ya Kitenge. |
![]() |
Bazee huvutia sana inapokuwa imechorwa maua kwa kuoanisha rangi,pia unaweza kushona Bazee kwa kuchanganya na Kitenge. |
![]() |
Mitindo ya Vitenge sasa hivi ni kila umbile wembamba kwa wanene kwasasa ukishona kitenge unapendeza sana,usiwe nyumba.Pendeza kiafrika pia jiamini umependeza. |