Enter your keyword

Culture for Life.

Saturday, March 29, 2014

Weaving Style

Wale Wapenzi wa Weaving hasa ndefu sasa ndio wakati wenu,Weaving ndefu sasa zimekuwa bora zaidi na kuwapunguzia wadada wengi gharama ya kubadilisha weaving sasa hivi ni kubadili tu mtindo wa kusuka weaving.(mtindo huu ni mzuri hata kwa bibi harusi)

 

Weaving style katika  mtindo wa twende kilioni au mbinjua








Weaving style  katika mtindo wa kawaida.



Weaving style katika mtindo wa Mkeka


No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu