Enter your keyword

Culture for Life.

Saturday, March 29, 2014

Mitindo ya Vitenge Kichen Party 2014




Mtindo wa Kitenge uliochanganywa na shiffon n'je mtindo huu unapendwa sana kwa sasa.Maua ya Kitenge huvutia sana n'je ya Shiffon.



Wema Sepetu Kiafrika zaidi ndani ya Kitenge.



Bazee huvutia sana inapokuwa imechorwa maua kwa kuoanisha rangi,pia unaweza kushona Bazee kwa kuchanganya  na Kitenge.




Mitindo ya Vitenge sasa hivi ni kila umbile wembamba kwa wanene kwasasa ukishona kitenge unapendeza  sana,usiwe nyumba.Pendeza kiafrika pia jiamini umependeza.


No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu