Enter your keyword

Culture for Life.

Thursday, February 2, 2017

Beyoncé is Pregnant With Twins

Beyoncé  na Jay Z ni wazazi wa binti Blue Ivy mwenye umri wa miaka mitano  sasa tangu wafunge ndoa mwaka 2008.Ambapo kwa sasa familia hii inatarajia kupata watoto mapacha habari zilizosambaa baada ya Beyonce kupost picha za utupu akionesha ujauzito wake na kuonesha kuwa na furaha kubwa juu ya hilo amesema katika ukurasa wake wa instagram"
 
 "We would like to share our love and happiness. We have been blessed two times over. We are incredibly grateful that our family will be growing by two, and we thank you for your well wishes. - The Carters"




 Angalizo tu wabongo kwa kuiga hamkawii kupiga hivyo na kutupia mitandaoni ni vema mkazingatia utamaduni wetu pamoja na mila na desturi zetu uzingu tuwaachie wazungu.

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu