|
Mjali mwanao.
Mama Mjamzito waweza kula kwa mpangilo huu.
- Mlo wa Asubuhi: A - Chungwa/ Embe/ Ndizi mbivu/ Parachichi, B - Mkate/ Maandazi/ Chapati/ Vitumbua,Uji C - Karoti D - Mayai, E - Maziwa/ Mtindi/ Siagi/ Maziwa ya Soya
- Mlo wa Mchana: A - Parachichi/ Papai/ Ndizi/ Embe na chungwa, B - Ugali/ Wali/ Ndizi/ Makande/ Tambi C - Mchicha/ matembele/ Mnavu/ Kisamvu/ Spinach/ Kabeji, D - Maharage/ Samaki/ Kuku/ Njugu/ Nyama/ Dagaa E - Maziwa/ Mtindi/ Siagi/ Maziwa ya Soya.
- Mlo wa Usiku: A - Parachichi/ Papai/ Ndizi/ Embe na Chungwa, B - Wali/ Ndizi/ Viazi/ Tambi/ Chapati C - Mchicha/ Matembele/ Mnavu/ Kisamvu/ Spinach/ Kabeji, D - Maharage/ Samaki/ Kuku/ Njugu/ Nyama/ Dagaa E - Maziwa/Mtindi/Siagi/Maziwa ya Soya.
|
Vitu na Vyakula vya kuepuka mama mjamzito.
- Matumizi ya Pombe wakati wa ujauzito huathiri mtoto. Hurusiwi kutumia pombe.
- Uvutaji Sigara
- Kupunguza unywaji wa kahawa au vinywaji vyenye caffeine nyingi.
- Samaki aina ya papa, swordfish, tilefish na king mackerel kwani wana mekuryi kwa wingi ambayo ni mbaya kwa afya
No comments:
Post a Comment