Zari kammwaga Diamond siku ya Valentine#valentine day
By
SINYATIBLOG
On
February 14, 2018
In
Maisha
Mama Tiffa maarufu kwa jina La Zarithebosslady,ameamua kumwacha mpenzi wake alimaarufu msanii Diamond,Zari ameandika katika ukurasa wake wa Instagram kuwa"kavumilia mengi na sasa imefika mwisho,nitaendeleza urafiki na Diamond kama baba wa watoto wangu lakini sio mahusiano ya kimapenzi"
Zari anasema amekuwa katika tasnia ya Sana'a miaka 12 na kuwa mfano wa kuigwa.Hivyo hatoaacha kuendelea kuwahamasisha...