Mama Tiffa maarufu kwa jina La Zarithebosslady,ameamua kumwacha mpenzi wake alimaarufu msanii Diamond,Zari ameandika katika ukurasa wake wa Instagram kuwa"kavumilia mengi na sasa imefika mwisho,nitaendeleza urafiki na Diamond kama baba wa watoto wangu lakini sio mahusiano ya kimapenzi"
Zari anasema amekuwa katika tasnia ya Sana'a miaka 12 na kuwa mfano wa kuigwa.Hivyo hatoaacha kuendelea kuwahamasisha wanawake kuwa maboss ktk shughuli zao.
Pia kasema atawakuza wanawe katika maadili ya kuwaheshimu wanawake hasa watoto wake wa kiume.
Zari Leo kapost UA jeusi lenye maana mbaya ni ya majonzi/msiba na Leo ni wakati wa UA jekundu.
Maelezo ya Zari......katika lugha ya kingereza
SERIKALI KUTOA MAFUNZO MAALUM KWA MABLOGA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025
-
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam — Serikali imetangaza mpango wa kutoa
mafunzo maalum kwa waandishi wa blogu nchini, ikiwa ni sehemu ya maandalizi
ya ...
1 day ago
No comments:
Post a Comment