Enter your keyword

Culture for Life.

Tuesday, May 22, 2018

Bold fashion

By On May 22, 2018
 Socks with heels is a bold fashion statement that we have seen on most and popular bloggers who have bold and adventurous style, but that doesn’t mean you can’t absolutely rock that trend, too. If you think that classic pumps and sandals too formal for street wear, then wear socks with them to make it cool and more casual. You can wear quirky socks and shoes combo in different contrasting...

Monday, May 21, 2018

Harusi itakayofunga mwaka 2018#Meghan Markle &Prince Harry.

By On May 21, 2018
Ilikuwa tarehe 19 mei 2018.Ambapo Prince Harry na Meghan Markle waliweza kufunga ndoa  katika kanisa la St.George's Chapel Windsor caster-United kingdom. Inasadikika kuwa watu million 18 nchini marekani na watu milioni 100 duniani waliweza kuitazama harusi hiyo kupitia vyombo vya habari vilivyokuwa vina rusha harusi hiyo Mubashara.Ilirushwa  kupitia CNN,BBC America,Sky News,Fox ,BBC one.na...

Saturday, May 12, 2018

Hii ndiyo rangi ya mwaka 2018#purple

By On May 12, 2018
Kumekuwa na mkanganyiko sana kuhusu rangi ya mwaka,Wengine wamekuwa wakidai bluu ndiyo rangi ya mwaka kutokana na kwamba mwaka Jana ilivaliwa mno hasa na maharusi. Naomba nikutoe kimasomaso rangi iliyotangazwa na Pantone ambayo ninkampuni inayotekeleza jukumu hilo baada ya kufanya utafiti katika mitindo mbali mbali hutoa rangi ya mwaka. Rangi ya dhambarau IPO katika muonekano tofauti .nitatupia...

Friday, May 11, 2018

Ubunifu wa kipekee,kwa mtu wa kipekee

By On May 11, 2018
Ninapozungumzia ubunifu,hii ni hali ya kuwa na wazo La tofauti katika jambo unalofanya,Mimi nazungumzia ubunifu wa mavazi ambao humfanya mtu kuwa wa kipekee. Hivyo upekee wa mavazi ndiyo hutambulisha mtu,mfano mtu huambiwa umevaa kama changudoa kutokana na muonekano wa vazi hulilovaa kuwa ni la kichangudoa,au unaweza ambiwa umevaa kama bibi,babu,kijana,mshamba ,miss nikutokana na muonekano...
Page 1 of 561234567...56Next »Last

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu