Enter your keyword

Culture for Life.

Monday, May 21, 2018

Harusi itakayofunga mwaka 2018#Meghan Markle &Prince Harry.

Ilikuwa tarehe 19 mei 2018.Ambapo Prince Harry na Meghan Markle waliweza kufunga ndoa  katika kanisa la St.George's Chapel Windsor caster-United kingdom.

Inasadikika kuwa watu million 18 nchini marekani na watu milioni 100 duniani waliweza kuitazama harusi hiyo kupitia vyombo vya habari vilivyokuwa vina rusha harusi hiyo Mubashara.Ilirushwa  kupitia CNN,BBC America,Sky News,Fox ,BBC one.na vingine vingi.

Meghan Markle akiingia kanisani,picha ya kushoto na kulia akiwa amevaa gauni  la reception.
Prince Harry akiwa na masimamizi wake(best man)

Prince Harry na mkewe Meghan Markle.wawili hawa walianza mahusiano tangu 2016,Meghan (ana umri wa miaka 36)alishawahi kuwa mwigizaji nchini marekani ameigiza filamu kama Get him to the Greek,Horrible Bosses na uhusika wake wa kwanza katika kuigiza ulikuwa Nesi kwa Mara ya kwanza kabisa.
Meghan aliacha kuigiza baada ya kuvalishwa Pete ya ndoa  mnamo tarehe 27 Novemba 2017

Meghan katika uasilia wake, katika harusi nyingi za kibongo watu hujisiriba mapambo usoni na kuondoa uasilia wake ambao Mungu kakupa na Mume akaupenda.Ningeomba Muige huu mfano.


No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu