Enter your keyword

Culture for Life.

Wednesday, August 21, 2013

Vyakula 11 Vinavyosaidia kuongeza Nguvu za Kiume.:(

TIKITI MAJI


  1. Samaki wabichi,bamia,kabeji,nyanyachungu na dhabibu kavu nyeusi na karoti
  2. Saga Tende mbichi  mpaka ziwe uji kisha changanya na maziwa ya mbuzi au ng'ombe yaliyo chemshwa, tumia  mchanganyiko huo kila unapotaka kulala na hutopata tatizo la kukosa nguvu za kiume wala uchovu baada ya tendo la ndoa.
  3. Mbegu za Tikiti maji zikaushwe kwa siku nzima, tafuna mbegu tano mara tatu kwa siku utaona  mabadilko. hufanya mwili kusisimka na nguvu kurejea.                       
  4. Tumia  Biringanya na nyanya chungu kwa wingi,supu ya kongoro,Vyakula vya Protein tumia kwa wingi
  5.  Juice ya tende na maziwa fresh, saga tende na usitie maji, maji yawe maziwa hiyo pia inasaidia sana.
  6.  Supu ya pweza.  Hakikisha unaitumia katika kila mlo
  7. Tumia korosho na karanga.
  8. Ponda mbegu za tikiti maji, zikaange halafu zitwange ili zitoe unga ambao ndio hasa husaidia. Pilipili pia husaidia.
  9.  Matunda na mboga za majani hupunguza kiwango cha mafuta na unene, kuongezeka kwa mafuta mwilini huzuia mzunguko wa damu kwa kubana mishipa ya damu. Matunda na mboga za majani huhakikisha uwiano wa uzito, unene kwa wanaume una matokeo mabaya katika kuzalisha homoni za testoeterone na hatimaye jogoo kushindwa kuwika. Wanandoa wanapozidi kunenepa, hali ya kufurahia tendo la ndoa huzidi kupungua.
  10. Nafaka halisi ni mlo muhimu sana katika maisha ya wana ndoa. Tangawizi nayo ina umuhimu wake mkubwa kama ilivyo asali, karanga na soya. Hata hivyo inapaswa ushauri wa namna ya kutumia ili kuleta mafanikio zaidi muone daktari.
  11. Chemsha Mdalasini na tangawizi kunywa  kila siku usiku kikombe kimoja itakusaidia.Epuka matumizi ya ngono isiyo Salama. Wanaohitaji matibabu zaidi piga simu +255 754 201 666,+255 719 268 290,+255 719 268 398

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu