Kama una nywele asilia mtindo huu unakufaa hasa kama nywele zako ni ndefu. |
Zamani nywele hizi zilisukwa na Wanawake wazee lakini kwa wakati huu mtindo huu wa nywele umebamba sana,Vilevile ni mtindo ambao unaweza kwenda nao katika location tofauti bila hofu. |
Mtindo huu unaweza kusuka kwa kutumia bunda mbili za rasta na ukatoka poa. |
Mtindo huu ni poa kwa kidada hata kimama hasa wale wanaoogopa mitindo ya kisasa wakisema ni ya vijana. |
Pic mbili tu za bunda la rasta unayoweza bei yake ina kutosha sana. |
Mtindo huu unafaa pia kwa Bi.Harusi. |
Mabutu makubwa huwa haya mtupi mtu ni wewe tu na pesa yako ya rasta cha msingi zingatia rangi ya ngozi yako na rasta unazosukia,Rasta nyeusi zinafaa kwa kila mtu. |
Style hii ya nywele pia unaweza ibadilisha ikawa hivyo ikiwa ulisuka njia tatu ndefu kisha unazikata ili kubadilisha muonekano wako. |
No comments:
Post a Comment