BORA MUME WA MTU AU MKE WA MTU
By
SINYATIBLOG
On
March 26, 2013
In
Mahusiano
Hakuna lililo bora katika hayo yote ,
vijana wengi siku hizi huona bora kuwa na mahusiano na mtu zaidi ya mmoja au kutembea na mume wa mtu au mke wa mtu,leo nataka mpenzi msomaji utambue kitu kimoja kama mwanadamu na mwenye utu ndani ya moyo wako na ambaye baadaye unategemea kuitwa mama au baba,lile umfanyialo mwenzako leo jua kesho kwako.
Kuna ushuhuuda niliusikia kwa masikio yangu kanisani binti...