Kapeti au Zuria.Watu udhani kuwa ni lazima kuweka zuria Sebule nzima,Tumia mazuria madogo sebuleni upande wa meza ya chakula weka zuria chini ya meza ya chakula na sehemu ya Faragha(sitting room) weka zuria katikati ya sofa zako.Pia katika kuchagua zuria mpenzi msomaji jitahidi kutambua mazingira ya nyumbani kwako kama una watoto ni vema ukachagua zuria ambalo sio jeupe hakikisha lina rangi ambazo zitakusaidia kuonyesha usafi.Siyo vibaya ukioanisha zuria na rangi moja wapo ya sofa ,ukuta na mito.Epuka utumiaji wa zuria lenye michoro mingi kama sofa zako zina michoro au rangi nyingi.Kama sofa zako zina rangi moja tumia zuria la aina hiyo.
MABEYO AWATAKA VIONGOZI WA NGORONGORO KUIMARISHA UTALII NA UHIFADHI
-
Na Woinde Shizza,Arusha
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
(NCAA), Jenerali mstaafu *Venance Mabeyo*, amewataka vio...
1 day ago





No comments:
Post a Comment