Enter your keyword

Culture for Life.

Sunday, May 26, 2013

Mbunge wa Arusha mjini Mh.Godbless Lema wa CHADEMA amezindua rasmi kampeni za Udiwani Kata ya Kaloleni jijini Arusha.




Mh.Godbless Lema(CHADEMA) akionyesha wananchi boksi la  kuchangishia pesa   kwa ajili ya  kampeni za udiwani zinazoendelea jijini Arusha.



Mbunge wa Arusha Mjini Mh.Godbless Lema akimwaga pesa  kwa ajili ya kuhesabu baada ya kuchangisha kwa wananchi ambapo zilipatikana kiasi cha Sh.Laki nne.




 Mgombea udiwani Kata ya Kaloleni  kupitia CHADEMA Emmanuel Kessy akiapa mbele ya wananchi huku akiongozwa na Mh.Godbless Lema.(Kushoto)


 Mgombea udiwani Kata ya Kaloleni  kupitia CHADEMA Emmanuel Kessy akiapa mbele ya wananchi huku akiongozwa na Mh.Godbless Lema.(Kushoto)





Mh.Godbless Lema akiwahutubia wananchi katika viwanja vya SOWETO  jijini Arusha wakati akizindua kampeni ya udiwani Kata ya Kaloleni.




Wananchi wakifuatilia kwa makini kampeni za udiwani wa Kata ya Kaloleni.



Wananchi wakizungusha ngumi kama ishara ya  kupinga Ufisadi.


Mwenyekiti wa Wanawake  CHADEMA Mkoa wa Arusha bibi Magreth akikunja kama ishara ya kupinga Ufisadi wakati akiwahutubia wananchi.



James Milya akiwahutubia wananchi katika uzinduzi wa kampeni za udiwani Kata ya Kaloleni ,viwanja vya SOWETO Arusha.









No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu