Enter your keyword

Culture for Life.

Tuesday, November 17, 2015

KEEP IT SIMPLE IN BLACK AND WHITE OUTFITS

By On November 17, 2015
  Turn heads with a body con two toned black and white dress. ...

Tuesday, September 29, 2015

WASANII WA BONGO MOVIE WAIBUKIA MJINI IRINGA,WATANGAZA KUTEMBEA NCHI NZIMA KWA BAJAJ KUMUUNGA MKONO DKT MAGUFULI

By On September 29, 2015
Wasanii nyota wa Filamu hapa nchini wakiongozwa na Jacob Steven a.k.a JB wakiwa wamenyanyua juu mikono yao kwa pamoja ni Ushindi sambamba na Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli (wa tatu kushoto),kuonesha kuwa wasanii hao wanamuunga mkono Dkt Magufuli katika mbio zake za kuusaka Urais kwa kutembea nchi nzima kutumia Bajaji zao tano,ambapo Bajaj mojawapo itakuwa na kazi ya kukusanya kadi za...

Saturday, July 25, 2015

KANDAMA MALUNDE ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA WANAHABARI SHINYANGA

By On July 25, 2015
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga aliyemaliza muda wake, Shija Felician akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga, Kadama Malunde (mwenye suti) baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi wa Klabu hiyo. Mwenyekiti mpya wa SPC Kadama Malunde, ambaye pia ni Mkurugezi wa Malunde1 blog akipongezana na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Shija...

Wednesday, July 22, 2015

FIVE TIPS ON HOW TO GROW EYELASHES

By On July 22, 2015
1. Using a volumizing mascara or lengthening and thickening mascara are the first step you take when you want to redeem your lashes. While waiting for them to grow look for a very good brand of mascara.  Vegetables and whole grain are really good for the body and the eyelashes, you can also take biotin and vitamin A or E multi vitamin capsules as they are known to increase growth. Good...

Friday, June 26, 2015

JINSI YA KUTUMIA LIPSTICK(RANGI YA MDOMO)

By On June 26, 2015
KAMA UNA MIDOMO(LIPS)NDOGO HAKIKISHA USIKOREZE SANA LIPSTICK YAKO ITAFANYA MIDOMO YAKO IONEKANE VIBAYA.PAKA KISHA TUMIA WANJA KUUFANYA MUONEAKANO MZURI WA MDOMO WAKO. KERRY WASHINGTON,LUPITA NYONGO NA RIHANNA,WOTE WAMEPAKA RANGI KULINGANA NA NGOZI ZAO. BAADHI YA HIZO PICHA ZITAKUONGOZA NAMNA YA KUPAKA LIPSTICK  KULINGANA NA NGOZI YAKO...

MEN SUIT.

By On June 26, 2015
VAZI LA SUTI NI VAZI AMBALO UNAWEZA KUVAA OFISI,KWENYE MIKUTANO,HARUSINI,KANISANI N.K. WANAUME WENGI HUPENDELEA RANGI NYEUSI,LAKINI TAMBUA KUWA KUNA RANGI AMBAZO HAZIJAZOELEKA ZIKIVALIWA VEMA ZINAVUTIA ZAIDI.   HAKIKISHA SUTI YAKO INAKUKAA VIZURI SIYO BEGA MOJA KUBWA LINGINE DOGO,MIKONO MIREFU KUZIDI MKONO WAKO N.K PIA CHAGUA KITAMBAA KIZURI SI KILA KITAMBAA KINAFAA KWAS...

Friday, June 12, 2015

AFRICAN HEADWRAP(KILEMBA)

By On June 12, 2015
Zamani mimi wakati nakuwa miaka ya 90 huko ilikuwa ukijifunga kiremba kama hivi unaonekana mshamba ila hivi sasa ndiyo habari ya mjini,watu wanasema remba unaweza vaa kwenye pati,kanisani,msimbani,kazini na kwenye mtoko wako,isipokuwa ufungaji wa remba hili hutegemea pia mazingira unayo kwenda usije funga remba na mtoko msibani au remba la harusi msibani au kwenye mtoko au mishe zako.Leo katika safu...

INGIZO JIPYA LA INDIAN LACE NA FRENCH LACE 2015

By On June 12, 2015
Purple Yoke lace gauni imechanganywa na satini.Bila kusahau kutupia remba(African Gele) ...

MITINDO YA VITENGE 2015.

By On June 12, 2015
REMBA NDIYO HABARI YA MJINI KWASASA USIPITWE,UNAWEZA KUTUMIA VITAMBAA VYA SATINI,VElVET,LACE,KITENGE n...
Page 1 of 561234567...56Next »Last

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu