Pata muonekano wa Wema Sepetu katika nguva.
By
SINYATIBLOG
On
January 27, 2018
In
Mitindo
mnaopenda kudesa muonekano huu hata kwa harusi uko poa lakini upate mbunifu mzuri hasa wa nguo. Mwanadada Wema mara nyingi kuitazama mishono yake ya party huwa na muuonekano wa nguva lkn hili ni balaa mabibi harusi hawaoni ndani. Big up kwa Designer wake.
.
...