Double monk strap shoes ni viatu ambavyo mwanaume unapaswa kuwa navyo,Viatu hivi unaweza vaa na aina yeyote ya nguo kama mwanaume. Nitaonesha baadhi ya viatu hivi:
Viatu hivi unaweza kuvaa na suti, pensi,casual,ofisini,ni nguo inayoendana na vazi lolote la mtoto wa kijana wa kiume au mwanaume.
Michezo: Simba Day Kuzinduliwa Agosti 30
-
"Katika msimu huu wa 17 wa Simba Day, utazinduliwa rasmi Agosti 30, 2025,
na kama ambavyo tumeanzisha utamaduni wa kufanya uzinduzi wa Wiki ya Simba
n...
13 hours ago
No comments:
Post a Comment