Enter your keyword

Culture for Life.

Monday, March 5, 2018

Ubunifu Wa Mavazi Wa Makeke Si Wa Nchi hii#MakekeAfrica

Nimekuwa nikipenda sana kazi za ubunifu hasa ule wa asilia,ni wazi kuwa tuna wabunifu wengi lakini ubunifu wa kijana wacko Jacko alimaarufu Makeke si wa nchi hii mavazi yake yanatukumbusha Africa yetu huko zamani.






Tarehe 24/2/2018 Makeke alifanya tamasha kubwa La mavazi yake ambapo tamasha lili huzuliwa na watu mbalimbali wakiwemo wabunifu wakubwa nchini na wasanii wa bingo Movie bila kusahau wabunifu wa mavazi.
 Mbunifu Makeke wakati onesho la Tamasha la mavazi akiliwakilisha katika hali ya kuigiza.






Ningependa muone picha tu za mavazi yaliyoonesha siku hiyo.Tuipende nchi yetu pia tupende mavazi yetu ya asilia.

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu