Watoto wadogo siyo lazima kuwanunulia mavazi ya special ama mtumba wanaweza kupendeza katika vazi LA kiafrika na wakawa na muonekano mzuri.Kama unavyoona baadhi ya hawa watoto wakiwa katika mavazi ya mutadha tofauti.
Watoto katika vazi la Nigeria
Kivazi cha part kwa mtoto(baby yellow)
Katika muonekano wa vazi la kibunifu la kitenge kipart zaidi.
No comments:
Post a Comment