Wasifu Binafsi
Jina -Glory JamesPrimary-Nkoanrua P.SchoolSecondary-Nkoanrua S.SchoolUniverisity-SUA
Wazo lako ndiyo utajiri wa maisha yako,Mtu mwingine hawezi kujua mawazo yako zaidi ya wewe mwenyewe utakapo lifanyia kazi wazo lako.Marafiki, wazazi,ndugu na watu wanao kuzunguka hawezi kuona faida ya wazo ikiwa wewe mwenyewe huwezi kulifanyia kazi ili waweze kuliona.
Safari ya Binti ...
Penda kujivunia utamaduni wako.Vitu vya asili kama mavazi ,vyombo,nyumba zilizojengwa kwa ubinifu wa hali ya juu lakini muonekano ni waasili pia huvutia sana.Leo nataka kukupa siri unapovaa vazi la asili na vikorombwezo vyake huwa ina pendeza na kukupa muonekano wa tofauti sana.Kitu unachopaswa kufahamu unavalia nini na kwa wakati gani?
Ukitaka kupendeza na culture vaa na nguo ya rangi...
Optimism colar living color of the year 2019
Coral Living ni rangi iliyochaguliwa na kampuni ya Pantone rangi imeonesha kuvutia na viumbe wanaoishi kwenye maji,na hii rangi huwa inapatikana kwenye coral reefs,mwaka huu inabeba ujumbe kuwa ni rangi yenye kuonesha matumaini,ujasiri na mafanikio katika mwaka 2019.
Kama uliweza...
Mwanamke unavaa vazi kama hili.Matiti yote yako n'je tubadilike
Utamaduni wetu pamoja na maadili ya dini miaka ya nyuma mwanamke alikuwa anajistili vema kwa kuficha maungo yake lakini sasa hivi wanawake tunaanika sana viungo vyeti vya mwili bila kujali kupoteza haiba zetu.
Binti anapoolewa au anapokuwa katika sherehe yoyote wengi wetu siku hizi zimekuwa kama sehemu za kuonesha miili yetu,wengine...
Arusha Yasimama Kwenye Maombi: Miaka 63 ya Uhuru
-
Viongozi wa dini ,mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda na wananchi
wakiendelea na maombi katika matembezi ya kuombea mkoa wa Arusha na
maathimisho ya mi...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
BANC ABC YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WATEJA WAKE
-
* Meneja wa Banc ABC Magabe Nyambuche akizungumza na waandishi wa habari
jijini Arusha*
Na Pamela Mollel,Arusha
Banc ABC katika kuwajali wateja wake wa ...