UTULIVU
Wakati mwingine akili huhitaji sehemu tulivuuu ili ipumzike japo kimawazo kulingana na siku yako ilivyokuwa na mambo uliyokutana nayo toka ulipoamka mpaka jua kuzama. Jipe amani nafsini mwako
ELIMU YA WATU WAZIMA YAZIDI KUPAA ARUSHA
-
Mgeni Rasmi katika hafla ya maadhimisho ya wiki ya Elimu ya Watu Wazima
Wilaya ya Arusha,Bi. Chausiku Baha akivalishwa skafu na mmoja wa Wanafunzi
waliop...
1 day ago
No comments:
Post a Comment