Ubunifu husaidia pia katika kuinua kitega uchumi na kumfanya mtu kutokuwa tegemezi.Mtindo wa kutumia vitu chakavu na kuwa kitu kipya na chenye msaada ni jambo la heri.Ni vema wakati mwingine katika mazingira tunayoishi kuangalia ni jambo gani ambalo mtu unaweza kufanya na ukaweza kusaidia jamii yako.Leo nitakuonyesha ambayo unaweza kubadilisha tairi la gari lililoharibika kuwa katika mtindo wa kisasa na kukufanya uweze kujipatia kipato.
|
Coffee table.
Sebule yako unaweza ipamba kwa matairi kama hivyo yaliyonakshiwa tayari.
Tairi pia unaweza kutengenezea kama makopo ya maua kwa kubuni mitindo tofauti ya kuvutia bustani yako.
Hii meza ni maalumu kwa sehemu za makutano kama baa,hotelini na Pub.
Unaweza tumia ndoo kama hii ya tairi baa au pub kuhifadhia vitu vya baridi au kwa matumizi yako mengine.
Hili ni zuri la tairi ambalo unaweza litumia mlangoni mwa Bafu lako.
Hizo hapo juu ni hatua zinazoweza kukusaidia kutengeneza tairi lako na kulipa muonekano wa kipekee.
VIFAA VYA KUTENGENEZEA MITINDO YA MATAIRI UTAKAYO.
- Old Tire
- 1/2″ Plywood (a 2’x4′ piece worked perfectly) (I actually used MDF, but plywood is better for outdoor use where it may get wet)
- Jig saw
- Drill
- Screws
- Furniture Feet
- Sisal Rope (use about 250 ft)
|
Usisite kutoa maoni yako hapo chini.
No comments:
Post a Comment