Leo nitazungumza namna ya kuwezakuvaa hizi shanga shingoni,IPO mitindo mbalimbali .
shanga zilizounganishwa na kitenge. |
Unaweza kuvaa shanga hii hasa katika vazi lla mtaani,mwenye sherehe (watu wengi hutumia shanga hizi kwenye harusi maranyingi)Tukiendelea hivi utamaduni wetu utaimalika na kuwavutia wengi.
No comments:
Post a Comment