![]() |
Gauni la shift la kitenge waweza vaa popote ila kulingana na mazingira. |
![]() |
Mtindo huu wa kitenge una weza valiwa na watu wasio na matumbo makubwa. |
![]() |
Mtindo wa kitenge kwa mtoko zaid. |
![]() |
Wavulana mtoko simple wa kitenge. |
![]() |
Shati la makenzi. |
![]() |
Tupokigwe Abnery ,hereni nime buni mwenyewe ushindwe ww tu kupendeza ndani ya Batiki. |
No comments:
Post a Comment