Remba ndiyo habari ya mjini kwa Tz ingawa wa Nigeria walianza kitambo,ila kwa sasa ndiyo imekamata rika zote hasa kwenye shughuli za sherehe.. |
kitenge kimechanganywa na kitambaa kinachovutika. |
Suruali ya Kitenge simple with pemplum top |
Solo ya style ya kitenge iliyokatwa kimtego,unaweza vaa popote kulingana na mazingira.Hapa kila shape inapendeza. |
Iro$Buba ya kitenge ushindwe wewe. |
Gauni la kitenge solo staili |
No comments:
Post a Comment