![]() |
| Mifuko ya rambo imekatzwa kutumika nchini kenya.sasa unaweza kutumia vikapu vizuri kama hivi kwa ajili ya manunuzi ya vitu vyako sokoni. |
![]() |
| Vikapu hivi hutengenezwa na wanawake nchini Tanzania,Pia huviuza kwa being ndogo ambayo mtanzania yeyote huweza kumiliki kikapu hiki. |
Kwa mtu anaye hitaji nitafute kwa namba +255 756377940





No comments:
Post a Comment