Enter your keyword

Culture for Life.

Wednesday, August 21, 2013

Mavazi ni Sababu ya Wewe kutovutia:

By On August 21, 2013

Mavazi ya Rangi Nyeusi.

Black Gown

 

Nguo Nyeusi siku zote huwapendeza watu wengi na haichagui rangi ya ngozi ya mtu pia unaweza kuvaa nguo yenye rangi nyeusi  sehemu yoyote.Wanawake wanaweza kuvaa nguo ya rangi hii na kuing’arisha na vikorombwezo vingine mfano Hereni,Mkufu,Bangiri,Pochi na Viatu au Skafu. Lakini unapokosea kuvaa nguo ya rangi hii lazima utapoteza muonekano wako ni kiwa na maana kuwa huwezi kupendeza endapo hutapangilia vazi hili.Pia wanaume ni vema kujipangilia  endapo utavaa Shati jeusi basi tambua utavaa na suruali gani kulingana na Shati lilivyobuniwa kama linaendana na Jinsi vaa Jinsi na kama linafaa kuvalia suruali ya kitambaa vaa hivyo pia zingatia mazingira unayokwenda.

Usivae Nguo ambayo inakuficha sana Mwili wako.




Pic credit.www.aliexpress.com


Sina maana kuwa watu wavae nguo za kuacha miili yao,ni kwamba vaa nguo ya heshima na iliyo katika mpangilio kama fupi isidhidi magoti,pia kama ndefu iwe ndefu isiwe ya kuishia katikati ya miguu,Kitu ninacho maanisha ni kwamba tusiwe na tabia ya kuvaa nguo nyingi kwa wakati mmoja kiasi kwamba hueleweki umevaa nini? Na kuufanya mwili wako kuelemewa na nguo.Usipende kuvaa vitu vizito au kiatu chenye sori ambayo ni nzito na I kakupelekea kushindwa kutembea.

Kuvaa Brazia ambayo sio kipimo cha maziwa yako.

Bra
Ukikosea kipimo cha maziwa yako katika kuchagua Brazia ya kuvaa,Maziwa yako yatashuka chini na kukufanya uonekane un Maziwa makubwa,  Mama anaye nyonyesha akijua kipimo cha maziwa yake anaweza kuonekana mrembo zaidi kuliko wewe ambaye Brazia yako imebeba maziwa.Kama hujui kipimo cha maziwa yako,jaribu kwenda maduka ya hivyo vitu na utatambua kipimo chako.

Sunday, August 11, 2013

What to do when loneliness strikes

By On August 11, 2013




 
 
Let's pretend your name is Leigh. You're 32 years old. You and your husband are mid-divorce. Like many newly separated people, you lose a lot of weight. It's mostly because you live on cigarettes, the odd piece of beef jerky and guilt—guilt about failing at marriage, about disappointing your family, about being so poisonous that everything you touch withers.

Each Saturday evening, you drive 45 minutes from your tiny rural Massachusetts town to a bigger rural Massachusetts town, the one with the highway, the multiplex and the fancy new Trader Joe's. In that glorious supermarket, you walk the aisles filling the cart with triple-crème Camemberts and thick-cut steaks and vats of clam chowder, not to mention a gallon or two of hand-squeezed orange juice; all foods you hope will fatten you up and make you look saner and more healthful and dateable. Only this has not been working...at all...and this particular Saturday, while midway through the dried pasta aisle, you have to physically pull your face together in order to not weep all over yourself. There is nothing intrinsically sad about a box of tortellini, and you are in the middle of a grocery store, for God's sake.

Finally, with little-to-no elegance, you make it to the cashier, who whisks your items into a sturdy, flat-bottomed paper bag, then tucks the receipt in at the top. You pick up the bag and trudge toward the rubber mat that opens the exit door. First you hear the rip—then the explosion, as all that hand-squeezed orange juice and clam chowder and Camembert hit the floor and smash open, the bottom of the bag having fallen out.

Monday, August 5, 2013

Saratani ya Shingo ya Kizazi

By On August 05, 2013

Naamini Mpenzi Msomaji  unaye jaribu kufuatilia makala zangu za afya unanielewa vema,Pia naomba mpenzi msomaji kama unatatizo ni vema zaidi ukimuona dakitari ikiwa kile nilichokisema hapa kinakugusa kwa namna moja au nyingine, huenda ndugu,Rafiki au Jirani yako anatatizo hili ni vema umshauri kwenda  kituo cha afya mapema.Naomba kuelezea ugonjwa huu wa Saratani ya Shingo ya Kizazi kama ifuatavyo.

Saratani ya Shingo ya  Kizazi huwapata wanawake zaidi ya Laki tano kwa Mwaka ambao huwa na maambukizi ya ugonjwa huu.Zaidi ya asilimia 80 ya Wanawake hao wanaishi katika nchi masikini,zaidi ya vifo 274,000vya wanawake husababishwa na Ugonjwa huu kila Mwaka,kila baada ya dakika 2,mwanamke mmoja anafariki kutokana na Saratani ya Shingo ya kizazi duniani kote

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu