Enter your keyword

Culture for Life.

Tuesday, March 7, 2017

Sheria za Uvaaji wa Nguo Zitakazo kufanya Uonekane Mwembamba

Kuna njia chache zinazoweza kukusaidia uonekane mwembamba katika mavazi yako na ukawa jasiri kwa vazi utakalo taka kulivaa.Zitambue sheria hizo kama ifuatavyo:

 Kuvaaa nguo yenye rangi nyeupe kwa nyeupe
 Photo: m-imagephotography/iStock

 Hakikisha kama umevaa sketi au gauni ivuke kidogo usawa wa magoti .

kiasi ili kuipa nafasi miguu yako ionekane vema.Hii itasaidia kutengeneza muonekano kwa kuanzia kiunoni na kushuka magotini.
source.Oprah.com

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu