Enter your keyword

Culture for Life.

Tuesday, May 23, 2017

Beyonce Baby Shower #ASili ya Baby shower na namna ya kuifanya.

By On May 23, 2017
" Baby shower"Asili yake ni kwamba hufanya mwanamke mjamzito,mimba yake inatakiwa iwe na miezi sita(6) au nane(8) na kwautamaduni wa wenzetu kama Egpty ufanya hasa kwa mwanamke ambaye anatarajia kupata mtoto wa kwanza katika familia yake.Pia kipindi hiki mwanamke anatakiwa kula milo mizuri kwa ajili ya kujenga afya ya mtoto. Ambapo mwanamke huyo huwaalika rafiki zake wa kike ambao humletea zawadi...

Monday, May 22, 2017

Muoekano mzuri wa kwenda beach kiutamaduni zaidi

By On May 22, 2017
Kujivunia vitu vya asili ni muhimu kwa kila mwananchi bila kujali utaifa wako.Leo nitaongelea ubebaji wa mikoba ya asili wakati unapokwenda kupumzika ufukweni na familia yako,marafiki au mpenzi wako.Basi vitu vyako unaweza weka katika mikoba hii,pia hakikisha unavaa viatu flat kama ambavyo vinaonekana hapo. ...

Sunday, May 14, 2017

Pleated skirt # Skirt za malinda zimerudi tena katika mitindo ya mavazi.

By On May 14, 2017
Malinda katika vazi la mwanamke yalionekana sana katika mavazi ya wanafunzi hasa mashuleni lakini miaka 1994 mavazi yenye mtindo huu wa malinda yalivaliwa sana na wamama(wakina mama wenye makamo)vilevile mavazi yenye malinda yalivaliwa sana na watoto wa kike,hasa katika magauni au skirt zao . Sasa hivi hili vazi linavaliwa na kinadada zaidi,lakini hata msanii wa kike Emilia Clarke katika filamu...

Mitindo ya skirt za wanawake kwajili ya kanisani.

By On May 14, 2017
Wanawake tumeumbwa kuwa walezi katika ulimwengu huu,Hivyo hata vazi la mwanamke linapaswa kuwa la mfano katika nyumba ya ibada,Mwanamke unapokwenda kanisani hakikisha unavaa vazi ambalo halioneshi mwili wako.Mwanamke katika kanisa ni muombolezaji katika kuombea kanisa. ...

Sunday, May 7, 2017

women# Uzuri wa Mwanamke wa Kiafrika upo Katika uwezo wake:

By On May 07, 2017
Nimevutiwa na hu ubunifu wa Kitambaa kilichofungwa kichwani hapo ni vitenge vya aina mbili tofauti,Katupia na short jumpsuit na accesories....Kama umependa unaweza tupi kichwa kilemba cha kitenge lakini simple sio furushi lote hilo kwa mtoko zai...

Tuesday, May 2, 2017

Men# Mwanaume ni pambo la mwanamke.

By On May 02, 2017
JOHN- DUMELO ni msanii  katika tasnia ya filamu toka ghana namkubali kwani miongoni mwa wanaume watanashati ambao kiukweli muonekano wao unanivutia sana ni mpambanaji na anaipenda jamii kwa ujumla.Tuzo alizowahi kupata.. Nollywood Movie Award for Best Actor in a Supporting Role 2012 · A Private Storm Africa Movie Academy Award for Best Actor in a Supporting Role 2011 · A Private...

MEN SWEATERS# Aina ya masweta ambayo mwanaume unayopaswa kuvaa ofisini

By On May 02, 2017
Nitadokeza aina ya masweta ambayo ukivaa kazini yatakufanya uonekane nadhifu: Vesti sweta,Haya ni masweta ambayo ukikosea tu kuchagua unaweza kuonekana mzee au sweta likaonekana la mtoko,chagua Rangi nzuri kwa ofisi ni silki au nyeusi.Unaweza vaa na tai ndefu,au bow tai. Solid-Color Sweta,Masweta ya mtindo unaweza kuvaa na  shati lenye kola yapo ya rangi tofauti lakini angalia rangi...

Monday, May 1, 2017

Joggers for Men: How to Wear Joggers

By On May 01, 2017
Zamani sngland(jogger) zilikuwa zikivaliwa na wanaume kwa ajili ya michezo.Joga ni huwa na kitambaa kinachotanuka,pia huwa nyepesi vilevile huwa hazingizi joto.Hivyo wanaume wengi hupenda kuvalia ndani ya nguo zao kabla ya kuvaa shati au kuweka jacketi juu.Kwa ajili ya kazi ni vema kuwa na joga nyeupe ambayo hata ukivalia suti au wakati wa joto unapovaa si rahisi kupitisha jo...

Mwanamke mwenye mahaba ya dhati hapaswi kufanyiwa haya:

By On May 01, 2017
  Blogger:Sinyati,Maoni ni kwamba ni vema kuwa wa wazi na wa kweli linapotokea suala la mahusiano.Hii itasaidia watu kutokuwa na malipizi kwa walio watenda. Usimuumize moyo wake Usijifanye unampenda ili ufanikiwe kufanya yako. Mtukane vyovyote vile ila sio wazazi wake na kumwambia kuwa yeye ni mbaya. Usimfananishe na wanawake zako waliopita. Usimpige,ni vema kuongea naye kwa utaratibu....
Page 1 of 561234567...56Next »Last

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu

1116881