-
Blogger:Sinyati,Maoni ni kwamba ni vema kuwa wa wazi na wa kweli linapotokea suala la mahusiano.Hii itasaidia watu kutokuwa na malipizi kwa walio watenda. - Usimuumize moyo wake
- Usijifanye unampenda ili ufanikiwe kufanya yako.
- Mtukane vyovyote vile ila sio wazazi wake na kumwambia kuwa yeye ni mbaya.
- Usimfananishe na wanawake zako waliopita.
- Usimpige,ni vema kuongea naye kwa utaratibu. Usimsaliti na kuonyesha kabisa dharau ajue kuwa unamsaliti
- Usimvunjie heshima kwa kumgombeza mbele za watu.
- Usimpotezee muda wake kama hauna mpango wa kumuoa, unamchelewesha kupata mume bora.
- Usimfanye ajione hapendwi na ana mkosi hapa ulimwenguni.
- Usimradhimishe kufanya tendo la ndoa
- Kamwe usisahau kumwambia unampenda na yeye ni mzuri hiyo haipunguzi nguvu za kiume.
- Usimpe mimba na kumkimbia au kumwambia aitoe, kama huna nia ya kumuoa achana na hayo
Michezo: Simba Day Kuzinduliwa Agosti 30
-
"Katika msimu huu wa 17 wa Simba Day, utazinduliwa rasmi Agosti 30, 2025,
na kama ambavyo tumeanzisha utamaduni wa kufanya uzinduzi wa Wiki ya Simba
n...
16 hours ago
No comments:
Post a Comment