Suti yenye kifungo kimoja,mtindo wa suruali kama unavyouona haijafika mwenye ankle.
Muonekano huu pia ni mzuri.kwa MTU ambaye hana tumbo kubwa.
Muonekano huu umekuwa ukiwa vutia wadada wengi .ni vema pia unapoushona hakikisha unamguu wa kuvalia isije onekana suti kama imetundikwa.
Habari : TBN yatoa Ufafanuzi Kuhusu Mkutano wa Ikulu
-
*Dar es Salaam.* Mtandao wa Wanablogu Tanzania (TBN) unapenda kutoa
ufafanuzi rasmi na kuweka mambo wazi kufuatia taarifa zisizo sahihi na
zinazoleta ...
3 days ago







This is real nice ever...I love African's beauty
ReplyDeletethank you
Delete