Suti yenye kifungo kimoja,mtindo wa suruali kama unavyouona haijafika mwenye ankle.
Muonekano huu pia ni mzuri.kwa MTU ambaye hana tumbo kubwa.
Muonekano huu umekuwa ukiwa vutia wadada wengi .ni vema pia unapoushona hakikisha unamguu wa kuvalia isije onekana suti kama imetundikwa.
Maisha : Zaidi ya Wananchi 9,000 Kunufaika na Huduma ya wilaya ya Korogwe
-
Na Oscar Assenga, TANGA
ZAIDI ya Wananchi 9,450 wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga wanatarajiwa
kuondokana na changamoto ya upatkanaji wa maji baada ya...
1 day ago
This is real nice ever...I love African's beauty
ReplyDeletethank you
Delete