Enter your keyword

Culture for Life.

Thursday, March 29, 2018

Kitenge ndani ya Manyoa.#kichenparty#vitenge

By On March 29, 2018
Tunapozungumzia ubunifu,ni ufundi anaoutumia msanii yeyote katika kuwasilisha/kufanya kazi yake iwe tofauti na na kazi za watu wengin

Vazi La kitenge ni vazi unaloweza kuchanganya na kitambaa au mapambo yoyote katika ubunifu na ukapata vazi LA kipekee ,kama hilo vazi ni la kitenge ila limetiwa nakshi za manyoa kazi kwako.

Saturday, March 10, 2018

African kids Fashion#2018

By On March 10, 2018

Watoto wadogo  siyo lazima kuwanunulia mavazi ya special ama mtumba wanaweza kupendeza katika vazi LA kiafrika na wakawa na muonekano mzuri.Kama unavyoona  baadhi ya hawa watoto wakiwa katika mavazi ya mutadha tofauti.

Watoto katika vazi la Nigeria

 Kivazi cha part kwa mtoto(baby yellow)
 Katika muonekano wa vazi la kibunifu la kitenge kipart zaidi.


Monday, March 5, 2018

Ubunifu Wa Mavazi Wa Makeke Si Wa Nchi hii#MakekeAfrica

By On March 05, 2018
Nimekuwa nikipenda sana kazi za ubunifu hasa ule wa asilia,ni wazi kuwa tuna wabunifu wengi lakini ubunifu wa kijana wacko Jacko alimaarufu Makeke si wa nchi hii mavazi yake yanatukumbusha Africa yetu huko zamani.






Tarehe 24/2/2018 Makeke alifanya tamasha kubwa La mavazi yake ambapo tamasha lili huzuliwa na watu mbalimbali wakiwemo wabunifu wakubwa nchini na wasanii wa bingo Movie bila kusahau wabunifu wa mavazi.
 Mbunifu Makeke wakati onesho la Tamasha la mavazi akiliwakilisha katika hali ya kuigiza.






Ningependa muone picha tu za mavazi yaliyoonesha siku hiyo.Tuipende nchi yetu pia tupende mavazi yetu ya asilia.

Mitindo mipya ya nguo za vitenge#2018

By On March 05, 2018
Kitenge ni vazi ambalo halichuji,wabunifu wamekuwa wengi na kila siku inaibuka mitindo mipya ambayo MTU anaweza kupata vazi La mandhari yoyote.




kitenge huweza kuvaliwaa mandhari yoyote.Kitu unachopaswa kukifikiria kabla ni mandhari(location) unayotaka kuvaa vazi hilo ili ubuni kulingana na muktadha

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu